Inawezekana vizuri tu!! Jamaa yangu nilimaliza nae akaomba UDOM!! Kamaliza mwaka juzi!! Yeye aliomba Bsc in IT and multimedia (kama sijakosea jina)!Hello, I just wanted to request your views on if I could be able to study B.SC Information and Communication Technology. I took HGE combination in A level and passed BAM.Thanks, in advance.
Thanks Bro, nitaangalia uwezakano wa kwenda . Much appreciated.Inawezekana vizuri tu!! Jamaa yangu nilimaliza nae akaomba UDOM!! Kamaliza mwaka juzi!! Yeye aliomba Bsc in IT and multimedia (kama sijakosea jina)!
Mind you sio kila chuo watakupokea. Ila udom inawezekana kwa vyuo vingine wanataka pure maths!!
Na kama ukifanikiwa kupata nafasi...sahau kuhusu alevo!! Komaa kiume mpaka kieleweke!!Thanks Bro, nitaangalia uwezakano wa kwenda . Much appreciated.
Hello, I just wanted to request your views on if I could be able to study B.SC Information and Communication Technology. I took HGE combination in A level and passed BAM.Thanks, in advance.
Asante Sana , Ntakomaa kwa sana.Na kama ukifanikiwa kupata nafasi...sahau kuhusu alevo!! Komaa kiume mpaka kieleweke!!
Kazana sana uwe njema kwenye COMPUTER PROGRAMMING maana hii ndio injini ya computer science/IT!!
Watakuambia IT haina soko...ila ukiwa njema kwenye programming jua una nafasi nzuri ya ku-win!!!
Kila la heri!!
Asante Sana.Nadhani kiingereza hakija kaa sawa, umejitahidi, umeeleweka.
Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app