Hezbullah Karibu Ataishambulia Israel

Hezbullah Karibu Ataishambulia Israel

Ujumbe ndio huo safari hi Hezbullah ataishambulia Israel sio target za kijeshi tu, kaona Israel ime cross red line na serekali ya Lebanon haijibu mashambulizi ya Israel.

Yule Puppet wao walio mueka Syria wanataka wamtumie kupigana na Hezbullah na kwa njia ya kusingizia kuprotect wasipitishe drugs na silaha Syria.

Tegeni masikia yajayo si mazuri kwa Israel, ikiwa Missiles 500 za Iran ilibidi Israel apige magoti kuomba vita visimame. Ataweza kupokea kichapo cha Missiles zaidi ya 7000 zile heavy missiles sidhani.

Siku zitaongea mda si mrefu.
Islamic is terrorist
 
We kenge tulizana, Israel ni nani wewe kila kitu anapewa na USA, warabu wanapigana na USA. Israel ni chui kwenye picture dalili alipo ingia Iran ilibidi huyo anaye pigana nyuma ya pazia aingie mwenyewe. Kwa sababu gani. Israel hana B2 Israel angekuwa nazo huyo huyo USA angejidai ni Israel ndio kapiga wakati USA ndio anapiga.

Wewe si ulisema hakuna hata pilot wa Israel kaguswa sa kuna infomation zimetoka Israel anafucha 30 pilots wa Israel walilambishwa mchanga.

View: https://youtu.be/xGq7kaXNuYY?si=djgy-axLPhqZ4C9V

Pilots 30 duh! Navyowajua Wairan kwa tantaranta hadi leo wangekuwa wana weka BREAKING news kila siku hadi mwaka uishe, Anyway kama unaamini Allah hajui mtu kama ni muislam hadi aswali kuelekea kibra ndio anajua nani muislam hahahaha Allah hivi hana uwezo wa kujua chochote hadi kitendeke!
 
Baada ya vita sasa mmejipanga kuleta TAQIYYAH uongo uongo ili kujifariji na kujipa moyo?
Nilishawaambia kama maumivu yakizidi tumieni Panadol!!!
 
Hio kwani habari nimeitoa wapi hujaona Hindustan news ndio wanao sema hayo, siniemeweka video we unadhani mimi ni kenge kama wewe una copy na kupaste tu. Sacred unategemea Israel atakubali hayo. Haya wacha nikuwekee news ya Iran sasa kama hujakubali ua India.

Wewe siku zote nakuambia kenge hufahamu soma habari hao wamelambishwa mchanga na Missiles za Iran kwenye base yao.

30 Israeli pilots killed in one of Iran's retaliatory attacks - Mehr News Agency 30 Israeli pilots killed in one of Iran's retaliatory attacks
 
We kenge wenzako Tela Aviv wameisha kuwa na mental problem kila usiku wanawasi wasi Missiles za Iran zita land hahaha, hivi wewe ulisalimika kweli wenzako walikuwa wakitaka kwenda kwenye mashelter lazima watowe rushwa ya kiwingu chezea na taifa teule la Paulo.
 
Hio kwani habari nimeitoa wapi hujaona Hindustan news ndio wanao sema hayo, siniemeweka video we unadhani mimi ni kenge kama wewe una copy na kupaste tu. Sacred unategemea Israel atakubali hayo. Haya wacha nikuwekee news ya Iran sasa kama hujakubali ua India.

Wewe siku zote nakuambia kenge hufahamu soma habari hao wamelambishwa mchanga na Missiles za Iran kwenye base yao.

30 Israeli pilots killed in one of Iran's retaliatory attacks - Mehr News Agency 30 Israeli pilots killed in one of Iran's retaliatory attacks
Hassan Kazemi Qomi, Iran’s former ambassador to Iraq, stated during a televised interview that in one of Iran’s operations during the 12-day war, 30 Israeli pilots were killed. “This is no small matter for the [Israeli] regime,” he said, adding that many details have been censored by the regime in Tel Aviv so far

.kwahiyo Hassan ndie anajua kuwa Pilot 30 wa IAF wamededi and were unajua wamededishwa na missile mwenye base Yao. Maana Hassan hajataja popote walipofia hao wayahudi wewe unajua. Na Hindustan fake news wameipata from Mehr News Agency news so mwenye news ni Hassan ambassador wa kale mstaafu wa Iran nchini Iraq huu ni uchekeshsji dhidi ya vyombo vya habari.
 
Nimekuja speed nikijua mashambulizi yameisha anza kumbe ni ngonjera za mnywa kahawa anaeshinda mkabala na msikiti wa idrisa pale kkoo.
 
Hassan Kazemi Qomi, Iran’s former ambassador to Iraq, stated during a televised interview that in one of Iran’s operations during the 12-day war, 30 Israeli pilots were killed. “This is no small matter for the [Israeli] regime,” he said, adding that many details have been censored by the regime in Tel Aviv so far

.kwahiyo Hassan ndie anajua kuwa Pilot 30 wa IAF wamededi and were unajua wamededishwa na missile mwenye base Yao. Maana Hassan hajataja popote walipofia hao wayahudi wewe unajua. Na Hindustan fake news wameipata from Mehr News Agency news so mwenye news ni Hassan ambassador wa kale mstaafu wa Iran nchini Iraq huu ni uchekeshsji dhidi ya vyombo vya habari.
Hi video inakupa jibu sa ulitaka USA ndiye waongee hahaha

View: https://youtu.be/wtxw9ph91r4?si=hnv0fOIqKwxMXgFb
 
We kenge tulizana, Israel ni nani wewe kila kitu anapewa na USA, warabu wanapigana na USA. Israel ni chui kwenye picture dalili alipo ingia Iran ilibidi huyo anaye pigana nyuma ya pazia aingie mwenyewe. Kwa sababu gani. Israel hana B2 Israel angekuwa nazo huyo huyo USA angejidai ni Israel ndio kapiga wakati USA ndio anapiga.

Wewe si ulisema hakuna hata pilot wa Israel kaguswa sa kuna infomation zimetoka Israel anaficha 30 pilots wa Israel walilambishwa mchanga.

View: https://youtu.be/xGq7kaXNuYY?si=djgy-axLPhqZ4C9V

Wajinga tu na wapumbavu kama wewe wanaweza kuamini kuwa marubani 30 wa ndege-vita wa Israel wanaweza kuuwawa.

Kwanza jiulize kila rubani ana ndege yake sasa hao marubani wanauwawa vipi kwa pamoja bila ndege zao kuangushwa?

Kuna uwezekano mkubwa hii ni TAQIYYAH ili kujifariji na kujipa moyo baada ya Iran kudundwa kisawasawa katika vita ya siku 12 huko Iran!!!!
 
We kenge hao wameuliwa kwenye base yao wapi nimesema ndege ziliangushwa hahaha. Nikikuambia wewe ni kenge unabisha.
 
We kenge hso wameuliwa jwenye base yao wapi nimesema ndege ziliangushwa hahaha. Nikikuambia wewe ni kenge unabisha.
Ndiyo maana nasema silaha kuu ya ya waislamu ni uongo na upotoshaji tu. Kwa taarifa yako huwezi kuona wakati wa vita Marubani wanakaa pamoja kwenye base yao lakini kwa sababu hata mgambo hujapitia huwezi kuyajua hayo.

Kwa ujumla endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo baada ya kipigo cha mbwa koko huko Iran!!!
 
Kwa hio unataka Netanyahu akuambie ndio uamini sio.
 
Back
Top Bottom