Hezbullah anavyo mcharaza Israel

Hiyo Lugha ya Majini wengine hatuielewi, Ninachokiona hapo ni Magofu tu ya majengo ya huko Lebanon-Kusini na sioni Askari yeyote wa Israel aliyeuwawa wala mateka waliotekwa na magaidi hao!!
 
Mbona umeandika kama taahira? Huwezi ukaandika kama mtu mwenye akili timamu, ukatutaarifu kilichotokea?
Tatizo wengine akili zao ndio vile kama wewe tuwape.pole tu hata mkiwekewa video hamfahamu
 

Attachments

  • VID_20260503_034550_902.mp4
    2.4 MB
  • VID_20260503_034731_447.mp4
    2.6 MB
  • VID_20260503_043040_117.mp4
    7 MB
  • VID_20260503_043144_635.mp4
    2 MB
IDF vita vyao kuvizia viongozi na kulipua majengo sio kupigana mkono kwa mkono!!

Hamas wenyewe wamewashindwa mkono kwa mkono!!

Ukifanya tafiti ndogo kwenye Akili yako tu utagundua hata viongozi wa Hamas wameuwawa pale Gaza kutokea Angani na Drone!..

sio mkono kwa mkono!!

Mkono kwa mkono wapo kwenye MEDIA + karatasi utasikia operation Entebbe! Lkn ndio kuvizia!
 
Tukitumia akili zetu vizuri utagundua kwanini Ulimwengu unaiyona Iranian imeshinda Vita !!!

Mfano mwengine huu
wkt Marekani na Israel wanapiga Majengo ya Iranian kwa kushtukiza au sehemu za Nuclear wanapiga kimya kimya !!!

lkn majibu ya Iranian wanatangaza kabisa leo wanapiga wapi na sehemu tajwa kunapigwa kama walivosema!!!!!!!!

Weka maanani wkt uho Iranian wapo nyumbani tu wanacheza Draft na Viuma vinatembea km2000+ kwenda kwenye lengo tajwa.

hii sio poaa huu ni zaidi ya Ubabe wakawaida!
 
Mkuu @
Hata kama watasema wasitumie akili watumie hisia
Iran kuhusiana na kushinda hii vita ni suala ambalo halitaki mjadala kabisa
Kama mpaka ile kenge ya ujerumani imekiri
Unadhani wazayuni wa jf watabadilisha huu ukweli kisa wanatumia hisia
 
Hiyo kazi ya kuuwa watu kwa hisia ni Wafuga Midevu na Majini!!
 

Daaaa nimechekaaa ndugu!! Mwanzo yule jamaa ilikuwa kama anasuport Israel +Marekani lkn muda ulivyosonga wakaanza ukasuku wao kwasasa nikama viongozi mitambo vile!! Japo wa Uhispania walikuwa tangu mwanzo wamegoma kuungana!

Lkn Uk Italy Germany Jamaaa kasuku sana!!

wameona mziki wa Iranian mzito! wakatafuta maneno mzuri kila mmoja kukaa mbali na mgogoro!!!! 😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…