Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 507
kaka hiyo ni moja ya picha tu ! vita vimepiganwa Syria miaka 7 na walio shindwa ni Alqaeda na ISIS na Silaha zao nzito na nyepesi zimekamatwa na Majeshi ya Serkali pamoja na washirika wao ambao ni Hibollah , Iran na Russia . Jisumbue kidogo kufuatiliaKama zipo nyingine hakuna tabu ila silaha zilizopo hapo chini ni za kawaida sana hata nchi za Africa hakuna ambayo haina tena zinatumika kwa vyombo vyote vya ulinzi hakuna silaha nzito hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
cheki site hii
VIDEO: Syrian Army showcases spoils from Daraa offensive