Hezbollah waonyesha makombora yao

Hezbollah waonyesha makombora yao

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Nalendwa nankumene

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamani!!!😁😁😂😂😂
 
Mgambo -militias
mwanzoni wakiitwa wanamgambo wa hezbollah,lakini lile ni jeshi kamili la ardhini.

Walichofanya iran ni kuwapa teknolojia ya makombora,ndo maana wanakuwa wanajitengenezezea wao,
hezb pia wameteka silaha nyingi za kimarekani na israel kutoka kwa waasi wa syria,ndo maana si ajabu kuona wakiwa na kifaru cha kimarekani
 
Hahaha!, hawa wana JF wamenishinda tabia kwa kweli. Mara tena Hezbollah wameitwa mgambo...lol
hatari, mkuu ila tumezindua ndege yatu mpya ya kijeshi kwa teknolojia yetu wenyew uweiona?soon tutaanza export
 
nankumene jaribu kuwa unapitia hata jerusalemu post,washington post utakuta habari za hezb,tena utawasikia kina Netanyau wanalalamika kweli jinsi hezb ilivyo tishio kwa usalama wa israel,mpaka kiasi cha Netanyau kuomba warusi wasiwaruhusu hezb karibu na mpaka pale golan,
kwa jinsi Netanyau alivyokua na hofu,ilibidi Russia wajitolee kulinda mpaka wa syria na israel,ndo israel kidogo ikawa na amani
 
sure mkuu israel kwake ni heri SAA wakakaa pale kuliko hezbollah, israel walikua busy nao sana kuhakikisha hawaweki makao ya kudumu gollan, Debka walikua wanacover vizuri sana jinsi mambo yalivyokua yanakwenda halafu wana source za ukweli sana kuliko jeusalem post
 
Hiyo ndege wamezindua leo,itakuwa ama ni utani,au am missing something,maana hiyo airframe ni copyright na F-5 ya marekani,sasa sijui wana maana gani kudai wamezindua ndege mpya tena design yao,
hata kama wameweka avionics zao mle ndani,bado hiyo ni airframe ya F-5 bila kupepesa macho,
ujuwe hawa wairan ni very trick and cunning usikute ndege halisi wanayoiasema siyo waliyoinyesha,as a furk you gesture,maana ndege iliyoonyeshwa ni kuu kuu,
wakati iran ina fahamika ina project ya ndege yake wenyewe na wakitumia design yao,
sasa kwanini waonyeshe hiyo ndege tena kwa uso mkavu kabisa?
 
si ajabu sana kuwa na airfame identical to F-5 coz wao iran wanazioperate hizo F-5 kwa sasa so ukute wamereverse engineer baadhi ya mambo machache km mchina alivyoreverse engineer za mrusi
 
Write your reply...duh???,baada ya kuhangaika mno,sasa naweza kucomment.
 
Hilo ni anti tank missile ila ni missile aina ya spike ambalo ni la wa israel sio marekani. Sijui Hezbollah wamelitoa wapi maana al qaeda na isis sio rahisi kupata silaha za Israel.

Sent using Jamii Forums mobile app
we nawe sijui unafuatilia media gani ... TOW ni ya Waizirael....? Alqaeda hawawezi pata silaha za Israel na Wamagharibi!!!! Kwa taarifa yako ISIS wana Drone za Israel. Fanya UTAFITI
 
Hisbollah imepata nguvu kubwa sana kupitia mzozo wa Syria ambapo wakubwa walithani Alqaeda na ISIS wangeliteketeza kundi hili hasimu lakini matokeo yamekuwa opposite. Hawa jamaa wamekamata silaha nyinigi za wamagharibi ambazo zilipelekwa kwa wanambambo wa Alqaeda na ISIS ili kumuangusha AssadView attachment 843310View attachment 843312
Kama zipo nyingine hakuna tabu ila silaha zilizopo hapo chini ni za kawaida sana hata nchi za Africa hakuna ambayo haina tena zinatumika kwa vyombo vyote vya ulinzi hakuna silaha nzito hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom