Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Hezbollah ilikuwepo enzi za Gaidi Hassan Nasrallah hii ya sasa ni Mdebwedo tu!!!
 
Ni 6 walikuwa wanasetting target za Missiles ambazo zitashambulia Israel sa mbona mnadai wamekwisha hahaha vipi Israel awe anawashambulia basi kumbe bado wapo
Hivi yule gaidi nasralah aliishia wapi?😁😁😁
 
Huyu yule gaidi nasralah aliishia wapi?😁😁😁
Aliuliwa kwa kutumia ndege karibu 40 na kurusha 80 tons za silaha hapo ndio ujuwe Mwanaume wa vipi huyo.

Na hapo ndio ujuwe ujinga wa Israeli anatumia ndege 40 na 80 tons kwa mtu mmoja tu kweli silaha ya bure nasikini wamarekani wanalipa kodi zinaishia Israel 😆 😂
 
Kwamba unaona aibu kusema Israel anawanyoosha? 😂

Kobaz Vumilia tuu mana huu uzi unaweza kukufanya utafute maji unywe wakati mpo kwenye siku zenu za kubadili ratiba za kula 😂
 

Ina maana wewe hujui uhusiano wa Iran na makundi yake ya kigaidi dhidi ya mataifa ya Kiarabu?
Hizo nchi zote za kiarabu zinamwona Ayatollah ni shetani anayetengeneza hayo makundi ua kigaidi dhidi ya mataifa yao.

Mataifa mengi ya kiarabu ni marafiki wa siri wa Israel kwani Israel ndiyo nchi pekee wanayoitegemea katika kuidhibiti Iran na makundi yake ya kiarabu, ndiyo maana Israel huwa inapewa kiurahisi taarifa za kiintelijensia kuhusu hao magaidi wako wapi au wanapanga kuwa wapi.
 

Sasa mbona nyie kobaz mnashindwa kumuua Netanyahu Hata kwa ndege moja au hata mgambo mmoja?

Au mnasubir afe kwa kusudio la Mungu ili nanyi mpite na habari za kifo chake? 😂
 
Ni 6 walikuwa wanasetting target za Missiles ambazo zitashambulia Israel sa mbona mnadai wamekwisha hahaha vipi Israel awe anawashambulia basi kumbe bado wapo
Kwahy umekubali Kuna ambao wameuawa 😂 makobaz akili zenu mnazijua wnyw
 
Punguzeni story za kuliswha matango kanisani, Saud Arabia kisha sema hawezi kuwa na uhusiano na Israel na anaye kuambia nchi za kiarabu zina uadui na Iran nani. Nchi za kiarabu zinapotezwa na USA. Ukiona nchi ya kiarabu ina uadui na Iran basi kuna mkono wa USA.
 
Hezbollah wako wapi?
Tumewamiss sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…