hey

hey

Vp uchaguzi huko? Msalimie Jua Kali
 
Welcome sana,karibu sana mwayego sie tupo tu.
 
Karìibu thana kwa home! Kumbe hii kitu inafika hadi kwa kibaki!
 
umeshapataga chalii wa kuchili nae,huku wapo,kuna mbuzi mzee,mzizi mkavu na wengine wengi mapaka basi
 
warm welcome in this forums which can make you happy or unhappy sometimes
 
hey jamiiforam kusema kweli i like this page, my name is olekina from kenya naipenda sana.

Mimi najua waKenya ni watu smart sana lakini wewe umenishangaza kwa kweli kwa uandishi wako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
karibu sana Olekina ila huku kwetu hakuna chipsi funga!ila ww iko nazoea taratibu!
 
duh we mkenya? Sikatai but mimi iko na dought

anyway karibu mheshimiwa.....
 
Back
Top Bottom