Hey! Wizi Huu kupitia Tigo-pesa mnaujua?

Stream line

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
393
239
Mnamo tarehe 3 Machi- 5/machi 2017 akaunti yangu ya tigo pesa ilisomeka nimemnunulia mwenye simu namba 0652013412 vocha. za jumla sh.8000/- nashituka tayari aliisha ramba. Sikuiwekea akaunti hii pesa tena hadi tarehe 13/4/17 leo nacheki namba nyingine 0656181975 inajitambulisha kama Nani Tigo Pesa Buku (true caller) aliisha ramba sh. 1000/- saa 1842. Na saa 1411alikiwa ameramba sh. 650/-. Napiga Tigo huduma kwa wateja hakuna mhudumu wa kusema naye ila mitambo tu. Utagundua wizi huu iwapo tu utaomba statement fupi. kwani haina marejeo. mf. tigo pesa imethibitisha...hii ni hatari mno.
 
Nashauri kuwa tupende kutazama salio la pesa zetu kila mara. kwani ukiangalia anaiba kidogo kidogo. anafikaje kwenye password ndo sijui. Tahadhari
 
Tigo kuna wizi mm wiki mbili zilizopita zilipotea elfu kumi na moja, nikawapigia majibu niliyopata hayakuniridhisha kabisaa! Najua cha kufanya!
 
Mie nlinunua umeme kwa tigo pesa... Pesa wamekata umeme hawajanipa na pesa hawajarudsha leo wiki ya pili sasa
 
Mie nlinunua umeme kwa tigo pesa... Pesa wamekata umeme hawajanipa na pesa hawajarudsha leo wiki ya pili sasa
Hapo mpaka uende tigo shop. Ukiwapigia wao huji kupata hela yako. Mm ilishanitokea kila nikipiga wanataka maelezo upya nkatapa hasira hela imekaa mwezi mzima. Nkwaenda shop yao mhudumu akaanza kuremba remba mkawambia sasa ivi nataka ela irudi kwenye account haikupita muda mrefu ikarud. Usipowakazia hela hairud, inaweza kuwaachia lakin km ni pesa kidogo
 
Tigo ni wezi toka mda sana mm niliacha kutumia huduma zao miaka sita iliopita kwa sababu ya wizi kama huu..Wizi mwingine huwa wanaiba senti kwenye salio mfn: umeweka jero salio linasoma tsh.500.32 basi hio senti 32 wanaipga badae utakut tsh.500.12, Chunguzeni mtagundua hilo
 
Hawa tigo ni wa ajabu sana nilinunua vifurushi vya internet mara mbili kupitia tigo pesa lakini simupata bundle na pesa wamepita nazo.. nimelipia malilo ya bili kupitia tigo pesa mara mbili wamekula pesa na miamala inarudi malipo yamekamilika ukiangalia ulipo lipia empty.
 
Kuna wafanya kazi tigo sio waaminifu kweli

Ni kweli mm hawara ya mme wangu- Mama Samson ane rafiki yake anafanya kazi Tigo(ingawa na yy ni mwolewaji) huwa ananisikiliza maongezi yangu yote na kunifuatilia kwa GPS kisha kumwambia rafikie (mama samson) ambaye naye kila jioni humwambia mzee wangu kila nilichosema na wapi nimekwenda siku nzima. sitaki kubadili laini. ila huzima ninapokuwa nakwenda nisipotaka wajue. pia hutuma vijana kunifuatilia kila niendapo. Tigo si waaminifu kabisa[/QUOTE]
 
Ni kweli mm hawara ya mme wangu- Mama Samson ane rafiki yake anafanya kazi Tigo(ingawa na yy ni mwolewaji) huwa ananisikiliza maongezi yangu yote na kunifuatilia kwa GPS kisha kumwambia rafikie (mama samson) ambaye naye kila jioni humwambia mzee wangu kila nilichosema na wapi nimekwenda siku nzima. sitaki kubadili laini. ila huzima ninapokuwa nakwenda nisipotaka wajue. pia hutuma vijana kunifuatilia kila niendapo. Tigo si waaminifu kabisa
[/QUOTE]
Control system ya tigo haijakaa vizuri kabisa yaani loopholes za matapeli kuiba ni nyingi nyingi na ndio maana watu wengi wenye busara huu mtandao wanauita ni mtandao wa wahuni.
 
Weka mkwanja wako tigopesa kwa sababu maalum unless otherwise keep it on your account. Utakuta mtu anatop up tigopesa with no reason. Sa ndio hapo ikiwa deducted maswali yanaanza.
 
Tigo hata ukijiunga ikabaki pesa wanaiba tigo tigo tigolise kbs Hawa.
 
Back
Top Bottom