wengi - hasa wale waliokaa nchi za nje - wanawaiga wazungu! Halafu si ajabu wengine walishaharibiwa misuli ya huko kwa hiyo kujibana kunakuwa hakuwezekani. Kumbe kuna mawili: Maadili na maumbile ya mtu.
mmh kwa swala hili mimi hapa ni victim,mama hapa huwa anayaachia mashuzi km vile tuko baghdad,ukimuuliza ndio kwaáanza. anakuuliza😀 nini cha ajabu?we hujambi?basi nshajizoelea siku hizi asipojamba mara mbili kwasiku namkumbusha maana nahisi labda anaumwa,lakini safi tunapendana kwel kwel.😀Wengi - hasa wale waliokaa nchi za nje - wanawaiga wazungu! Halafu si ajabu wengine walishaharibiwa misuli ya huko kwa hiyo kujibana kunakuwa hakuwezekani. Kumbe kuna mawili: maadili na maumbile ya mtu.
sava bier merci,i miss u mama mia😉koma sava!!!