Udhibiti wa Sulpher umekuwa dhaifu sana, wahanga wakubwa ni madereva wa Maloli makubwa yaendayo nje ya nchi, inaingizwa nchini ipo kwa container salama,kifika hapa Inakuwa reparked tena katika container zisizo imala, dereva atavuta hewa chafu kutoka Tanzania mpaka Zambia, nasikia madereva wengi wanapoteza maisha.