andy90
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 270
- 105
Wakuu habari zenu!
Mim nmekuwa nikisoma malalamiko mengi sana ya wana Jf ambao ni student's wanaotaraji mkopo, nlichokigundua ni kweli kuna waliopata na kunawaliokosa. Ila mmi binafsi nauliza je kati yao waliokosa kuna ambao mwaka wakwanza walipata na mwaka wa pili wakakosaa?? nikipata kujibiwa kwa hakika ntajua hatua gani nachukua,,,,