HESLB,

dr mose

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
45
Reaction score
15
Habari wana Jamvi!
Nimepata Changamoto katika ku upload picha ya mdhamini mtandaoni. Kila nikijaribu inakataa na picha ina vigezo vyote.
Au ni print fomu hivyo hivyo niibandike kawaida?

Ahsante!
 
Usifanye hivyo, endelea kujaribu labda mtandao mzito. Hakikisha chochote kinachojazwa online kijazwe hukohuko na kinachifanyika offline pia vivyohivyo.
 
punguza dimensions mkuu mbona unayumba ukishindwa unaomba msaada usaidiwe sawa sio issue ya mtandao umeshindwa kupunguza size na dimensions zake.
 
punguza dimensions mkuu mbona unayumba ukishindwa unaomba msaada usaidiwe sawa sio issue ya mtandao umeshindwa kupunguza size na dimensions zake.
mkuu hiyo sio shida wala, size na dimensions ziko poa, mbona picha ya mwombaji nimerekebisha na imekubali but najaribu different pics za mdhamini na bado inakataa. Namba HESLB nilipiga muda wa kazi haikupatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…