mkuu hiyo sio shida wala, size na dimensions ziko poa, mbona picha ya mwombaji nimerekebisha na imekubali but najaribu different pics za mdhamini na bado inakataa. Namba HESLB nilipiga muda wa kazi haikupatikanapunguza dimensions mkuu mbona unayumba ukishindwa unaomba msaada usaidiwe sawa sio issue ya mtandao umeshindwa kupunguza size na dimensions zake.
Hakuna pupa ni swala la kupeana insightAcha pupa mzee...taratib itakubali