HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

Mbona case kama hiyo sijaiona mkuu.Chuo gani.Sababu kila mtu anapewa Meals and accomodation,vingine tu ndo vinatofautiana
Mchek uyo jamaa mwenye 770 tu
Screenshot_20181029-084451.jpeg
 
Ee
Bodi ya mikopo ya wanafunzi ya elimu ya juu HESBL imetoa majina ya walionufaika na mkopo kwa awamu ya pili 2018/2019

Nina swali Je kuna awamu ya tatu? Na hii inakuaje?

Tembeleeni tovuti za HESBL na akaunti zenu goodluck!![/QUOTipo zinaweza fika ata nne
 
Yanii mimi ni moja ya waathirika wa kutopata mkopo japo chuo nimepata first round ila batch zote sipo tena niliambatanisha na vyeti vya kifo vya wazazi wote wawili yanii Advance nimesopa kwa shida snaa alafu sahv nakosa mkopo kwelii 😢😢😢😢 inauma snaa Mungu anajua lakin Daah mda mwngine napata na msongo mkali sana wa mawazo mpk natamani kuchukua maamuzi ambayo najua itakua chukizo kubwa sana kwa Mungu na kwa jamii yangu but it really hurts guys nilikua nasikia tu watu wanakosa mkopo ila sahv najionea na naona jins inavo umaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
 
Pole sana mkuu keep praying Mungu atajibu
 
Mungu atakusaidia bro never give up
Yanii mimi ni moja ya waathirika wa kutopata mkopo japo chuo nimepata first round ila batch zote sipo tena niliambatanisha na vyeti vya kifo vya wazazi wote wawili yanii Advance nimesopa kwa shida snaa alafu sahv nakosa mkopo kwelii inauma snaa Mungu anajua lakin Daah mda mwngine napata na msongo mkali sana wa mawazo mpk natamani kuchukua maamuzi ambayo najua itakua chukizo kubwa sana kwa Mungu na kwa jamii yangu but it really hurts guys nilikua nasikia tu watu wanakosa mkopo ila sahv najionea na naona jins inavo umaa
 
Back
Top Bottom