Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 554
Kwa habari za uhakika ni kwamba bado mikopo inaendelea kutolewa kwa wanafunzi waliobaki na tatizo kubwa lililojitokeza ni kwamba matokeo ya baadhi ya waombaji hasa wale wa nacte hayaonekani katika profile zao.
Kwa wale wa case za ku appeal muda bado wa kufanya hivyo, hivyo mtajulishwa muda ukifika pia wale wa case za transfer bodi haihusiki na hayo bali wao hupokea taarifa kutoka TCU na NACTE endapo kama utafanikiwa kuhama.
Hilo ndio tangazo lililotoka kwa sie ambao leo tulikua bodi ya mikopo kwa matatizo mbalimbali..Karibuni kwa maswali