Ao Helsb wanafanya ukiujua Ukweli unaweza kuliaIvi ni kwamba tarehe 8 ya huu mwezi ndo ilikua draft ya mwisho?
Nakama bado hichi kitu cha tarehe 8 mbona hakitoki?
Mkuu upo chuo gani ? Maana Helsb wanaenda ku-bury dreams za vijana WengiHawajui tutakuja kushikiliahatima za watoto wao