HESLB watatoa lini form za mkopo!!

HESLB watatoa lini form za mkopo!!

Nenda kwenye website yao ukaangalie matangazo, ikibidi ukipata email zao waulize kabisa
 
wametoa tangazo mkuu,na form zote mtandaoni.maombi yanaanza kupokelewa kesho.;ingia www.heslb.go.tz uangalie vigezo na uanze app
 
Back
Top Bottom