Ya ni kweli tuliambatanisha barua kutoka chuo lakini ile ilikuwa ni kama utambulisho,bt wanahisi mtu anaweza kuwa haendelei na masomo kutokana na kudisco hivo matokeo ni muhimu kudhihilisha kuwa unaendelea na masomo(barua itakayothibitisha hujadisco na unaendelea na masomo),CHA MUHIMU TUSUBIRI TUTAKAPO RUDI VYUONI[/QU...sawa kaka nashukuru lakn sijui kama wata2fikiria vizur hawa jamaa maana huwa wanakuwa na majibu yakukatisha tamaa kweli