Mimi ni loan beneficiary tena kwa asilimia mia moja ambae nilisoma mwaka mzima (2013/2014) mwaka wa 2014/2015 nika postpone sasa hivi nimeresume na barua ya resumption nimepeleka bodi lakini still sijawa allocated na muda wa regstn chuoni unafungwa next week naomba msaada wa namna ya kufanya sipo peke yangu....watu wa bodi mnaopita humu mtusaidie.