100% unakurupuka wewe kijakazi wao.bado unakurupuka na kutaka kuanzisha
tatizo lako ndugu wewe sio mlengwa wa hiyo e mail na isitoshe hakutaka kujua contents ya hiyo mail nafikiri,..na bado unakurupuka na kutaka kuanzisha zogo lisilo na maana,..Board kupitia sheria yake no 9, 2004 (as amended) inaruhusiwa kuanzisha net-working and cooperation links with Institutions and organizations be they Government or non Governmental, local, foreign or International, ili kurahisisha utekelezaji wa shughuli zake, S. 6(h) of the Act, na pia S. 7 (h) ina power za "kudetermine other criteria and conditions governing the granting of students loans ..."
ivyo basi board imeamu kuanzisha operational links na ubalozi wa Tanzania china ilikusaidia wanafunzi wa KiTz china kupata mikopo kwa urahisi n on time,..nafikiri ubalozi kama agent wa board ilikutekeleza majukumu yao kama walivyo ombwa na board wameanza kuanzisha data base yao ilikupata wanfunzi kamili waliopo china.
tatizo lako ndugu wewe sio mlengwa wa hiyo e mail na isitoshe hakutaka kujua contents ya hiyo mail nafikiri,..na bado unakurupuka na kutaka kuanzisha zogo lisilo na maana,..Board kupitia sheria yake no 9, 2004 (as amended) inaruhusiwa kuanzisha
tatizo lako ndugu wewe sio mlengwa wa hiyo e mail na isitoshe hakutaka kujua contents ya hiyo mail nafikiri,..na bado unakurupuka na kutaka kuanzisha zogo lisilo na maana,..Board kupitia sheria yake no 9, 2004 (as amended) inaruhusiwa kuanzisha net-working and cooperation links with Institutions and organizations be they Government or non Governmental, local, foreign or International, ili kurahisisha utekelezaji wa shughuli zake, S. 6(h) of the Act, na pia S. 7 (h) ina power za "kudetermine other criteria and conditions governing the granting of students loans ..."
ivyo basi board imeamu kuanzisha operational links na ubalozi wa Tanzania china ilikusaidia wanafunzi wa KiTz china kupata mikopo kwa urahisi n on time,..nafikiri ubalozi kama agent wa board ilikutekeleza majukumu yao kama walivyo ombwa na board wameanza kuanzisha data base yao ilikupata wanfunzi kamili waliopo china.
Wanajamvi, kuna afisa wa ubalozi wetu huko uchina huwatumia(vijana wetu)email ya kuwataka wajiandikishe katika tovuti ya ubalozi huo,na asiyefanya hivyo akikosa mkopo asipige kelele.
Sasa wazee wenzangu,nijuzeni hii sheria mpya ya bodi ya mikopo inayoruhusu vijana wetu kukosa mkopo,kwa kushindwa kujiandisha katika tovuti ya ubalozi wao?
Nimerejea form na makaratasi yote ya sheria za kupewa mkopo sijaona sheria hii.Je hii yatoka wapi?

Umetumwa?Wewe umepewa mkopo na Serikali na ni jukumu lako kufuata maelekezo unayopewa na wanaokupatia fweza za walipa kodi ili uelimike, hizi porojo za chakubanga sio mahali pake hapa. Kama hutaki kujiandikisha tafuta fweza za kwako na usije kulalamika hapa ukafikiri wote ni akina chaku.
Umetumwa?
Chaku=xxxxxxxx
Acha kutetea ujinga.
Huna sababu ya kutoa matusi weka points unafahamu hapa JF tatizo kubwa utafungiwa then unaanza kulialia kimanga weka points mkuu hapa ni hoja ndio yenye nguvu sio matusi. Upo hapo?=xxxxxxxxxxxxxxx
wewe unastahiri mapanga ya musoma.
Mimi pia ni mmojawapo wa wanafunzi tunaosoma hapa China,Kimsingi hii ni hatua moja kubwa mno kwa ubalozi wa China na inatakiwa kupewa dole na si kulaumu kama mtoa hoja. mtoa hoja kwa kupitia history yake inashawishi kuwa ni mwanafunzi na si mzazi na pia hayupo Tanzania,(more posibility yupo hapahapa China)hivyo hoja yake ina kitu kimejificha,so Stay away na watu kama hawa..
Kwa ufupi,pale awali kila mwanafunzi hapa China alitakiwa kujaza form ya excel inayotaka details zake zote,mwaka jana wengi wa wanafunzi majina na details zao zilikosewa na kusababisha wengine kuchelewa hadi miezi sita hadi kupata mkopo, sasa nadhani ndio sababu ubalozi ukaja na registration System ambayo kila Mtanzania(mwanafunzi,mfanyakazi,mtembezi nk) anatakiwa ajisajili,hivyo ubalozi utapata right info at right time.
Mtoa hoja amejawa na Chuki biinafsi na watu kama hawa ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya Nji yetu hivyo tuwaepuke kama Ukimwi!
HuXiang