HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

Lets see and wait nini kinafuata
jerrysonkiria mkopo hata kwa mwaka jana Enginnering na kozi zote za sayansi walipata katika second lot,kwenye first lot walipata watu wa afya na petroleum but usiwe na wasiwasi mkopo utapata kama ulisoma sayansi.
 
sawa ila swali langu ni kama lot1 haupo je kuna ya pili??? kuhusu percent iyo ni adi kwenye barua zitakazotolewa ndo utajua percent yko huko huko
Ndiyo lot 2 ipo na inaweza kuchukua takribani wiki mbili a tatu ila sio taarifa rasmi kutoka HESLB
 
Kuna Dogo kwenye hiyo allocation ya UD jina lake lipo ninapoingia kwe website ya loanboard na kulog inajibu you are not secured loan sasa maana yake hiyo link haisaidii kutoa ukweli juu ya hilo maana nimeenda PDF nadownload ndio inajibu hvo
 
Amina mkuu.. hii link ni bomu...itafanya watu wapanic
 
Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo.

Kumbuka format ya form 4 no. ni s0001.0001.0001 na sio s0001/0001/0001

Link hii hapa OLAMS

Chini limeambatanishwa FILE la Orodha ya Waliopata Mkopo 2016/17
oi mbona inaandika "You have Not Secured Loan" hata ukitumia index no. za kwenye hio first banch waliopata mkopo
 
Back
Top Bottom