HESLB na Serikali wawafutie madeni wapiganaji wote wa vyombo vya Ulinzi

Pumbavu mkubwa lipa deni wewe utopolo
 
hao sio special, kuna watu wanafanya kazi nzito kama wao hivyohivyo lakini wameshalipa, wana roho mbaya hasa polisi, wala rushwa, n.k, mazuri machache wanayoyafanya kama yale ya kupambana na majambazi sio kigezo kuna mabaya mengi, na wengi tu hao polisi ni majambazi usiku, nilishawahi sikia wengine wanaazimisha hadi bunduki wakiwa doria....ungeongelea watu kama madaktari, mahakimu na majaji, waalimu etc hapo ningekuona una akili. lakini ulichoandika hapo ni takataka tu.
 
ila dawa ya Deni ni kulipa Kama Deni linaudhi acha kazi Kuna watu wanahamu kwelikweli na kukatwa ilo Deni HESLB...
 
Usiku Wa Deni Haukawii Kucha
Dawa Ya Deni Ni Kulipa
Mkuki Mtamu Kwa Nguruwe Lakini Kwa Binadamu Mchungu.
Mgema Akisifiwa Tembo Huitia Maji
 
Wazo la kijinga Sana
Hawa vibaraka wa ccm ndio uwasamehe madeni?

Walipe tu madeni wajue uchungu wa kukumbatia Sera mbovu.

Binafsi Kila mtu alipe Kodi wakatwe na tozo kabisa
Nadhani hii thread ilifaa kuishia hapa. Kila mtu alipe madeni ya HESLB na kodi zote, tujenge nchi, period.
 
kwani hao walinzi wana nn spesho sana kuliko wengine.acha kila mtu alipe pesa alokula
Huyu hana hoja ya msingi. Kama ni uspecial, kila eneo ni special tu. Tumejaribu kuwajali, lakini hao hao wanarudi kuwaumiza wananchi. Wamehusika kutoa ushindi fake kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na kutufikisha tulipofika. Kama wako kwaajili ya kuilinda nchi na watu wake, walipoona uchaguzi unaporwa na ukawa si huru na wa haki, walitakiwa kuonyesha nguvu yao na umuhimu wao kwa Taifa. Tumeona majeshi ya nchi zingine yakiwa imara.

Wacha tulipe wote, tena makodi yaongezeke tupate maendeleo haraka.
 
Lazima utakuwa CCM wewe.
 
Sijasoma hadi mwisho ulichoandika but utaniwia radhi kwa kusema umeandika mashudu...pia hakuna shuruti ya kuingia huko ikiwa na maana kwamba utakubaliana na chochote utakacho kikuta huko hapa namaanisha kwenye vyombo ulivyo vizungumzia hapo, hapo ndio concept ya uzalendo inapokuja kama ulikua hufahamu, uzalendo sio kupigapiga kelele tuu hatahilo linalokugusa wewe sasa ndio uzalendo wenyewe huo hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…