Queen lizy
Member
- Aug 28, 2017
- 24
- 6
Carry haizuii mkopo.Jaman najiona kama vile Nina bahati mbaya, hivi bodi hawakujua kuwa kuna wanafunzi wanaweza kucarry hata kwa bahati mbya , sasa wanategemea ntaishije..jaman mwenye uzoefu na hili anisaidie, Mimi ni continous student second year, first semester nikiwa mwaka wa kwanza nilipata carry Over ya kozi moja, je hii yaweza kuwa sababu ya jina kangi kutokutokea kwenye sheet? Na je inatakiwa niirudie kozi kwanza ndo wanipe pesa au inakuwaje, naomben maoni yenu wakuu.
Hamna kitu icho as long as hujapata disco bac mzigo unaingia fresh.Nasikia sahv wanazngua sana
Unapata mkopo kama kawaida,,,labda tu ulikuwa na Sup nyingi uvute subira halafu uende kwa loan officer wako,,pengine jina lipo ila bado hujaitwa kusaini.Me nshatoka uko pambaneni
Asante kwa ushauriSasa kama allocation imekuja..sign sheet zitaachaje kuja??
Kaulizie kwa loan officer wako,,utakuwa upo kwenye list za wanaosubiri malipo quorter 1
Asante kwa ushaurNenda kwa Loan officer kaulizie vizuri .
Carry haiwezi kuzuia mkopo wako .
Sasa kama allocation imekuja..sign sheet zitaachaje kuja??
Kaulizie kwa loan officer wako,,utakuwa upo kwenye list za wanaosubiri malipo quorter 1
No sina supp, but i have one carry for the first semesterUnapata mkopo kama kawaida,,,labda tu ulikuwa na Sup nyingi uvute subira halafu uende kwa loan officer wako,,pengine jina lipo ila bado hujaitwa kusaini.
Hapana, ila kwa semister ya kwanza ndo nilsapu somo moja, but nikashindwa kuchomoza, nikawa na CaryKama ulifanya mtihani wa supp majina huwa yanachelewa kuja.
Hapana, ila kwa semister ya kwanza ndo nilsapu somo moja, but nikashindwa kuchomoza, nikawa na Cary
Kuna wengine allocation zimekuja,Ila sign sheet majina yao hayapoSasa kama allocation imekuja..sign sheet zitaachaje kuja??
Kaulizie kwa loan officer wako,,utakuwa upo kwenye list za wanaosubiri malipo quorter 1
Pamoja saana mkuuHamna itakuwa wamekusahau tu nenda kwa loan officer ..carry ukipata mkopo unapata km kawa
Sawa, ngoja nifatilieKuna wengine allocation zimekuja,Ila sign sheet majina yao hayapo
Usijali jina litakuja si wanatoa kwa awamu wasio na vimeo huwa yanawahi. Pole sana mkuu najua maisha ya chuo bila boom huwa msala sana.