Habari zenu wana jf
Msaada jinsi ya kupata mawasiliano na raisi magufuli, nimeomba hivyo kwa sababu nataka nimkumbushe kuwa board ya mikopo ya elimu ya juu inatesa sana wanafunzi yaani kuna wengine mpaka leo hii hatujapata boom na mpaka mabinti wameanza ukahaba kwa kukopsa pesa za kujikimu na wengi wetu tumetoka familia duni hivyo mwenye mawasiliano na raisi magufuli plz msaada wake ni wamuhimu saana.
Nitashukuru kwa msaada