Y yuka Member Joined Oct 26, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Oct 26, 2017 #1 till nw watu hatujui tumepata asilimia ngapi japo majina tumeshayaona kupitia pdf za watsup. kwenye ku apply pia ilisumbua mtu umelipa lakin account haifunguki wengine control no unapata baada ya siku kama tatu kupita.
till nw watu hatujui tumepata asilimia ngapi japo majina tumeshayaona kupitia pdf za watsup. kwenye ku apply pia ilisumbua mtu umelipa lakin account haifunguki wengine control no unapata baada ya siku kama tatu kupita.
NEMEZIZ JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 563 Reaction score 337 Oct 26, 2017 #2 Batch ya ngapi Mkuu
K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,149 Reaction score 2,273 Oct 26, 2017 #3 Website yao hovyo sana inafunguka kwa shida
Y yuka Member Joined Oct 26, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Oct 26, 2017 Thread starter #4 AbraDaVinci said: Batch ya ngapi Mkuu Click to expand... ya pili
Y yuka Member Joined Oct 26, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Oct 26, 2017 Thread starter #5 Kasongo said: Website yao hovyo sana inafunguka kwa shida Click to expand... kwangu haijafunguka kabsa
Kasongo said: Website yao hovyo sana inafunguka kwa shida Click to expand... kwangu haijafunguka kabsa