HESLB inarudisha maisha ya watu nyuma.

HESLB inarudisha maisha ya watu nyuma.

Wakulaumiwa ni wazazi wao kwa kuchezea ujana wao.

Nawashauri tu kuwa wasikate tamaa, mwakani wajaribishe tena.

Waombe mwakani wajibiwe 'Previous loanees' mm ndiokilichonikuta mwaka jana nilishindwa kujiunga na chuobaada ya kukosa mkopo, nikasema nitajaribu mwaka huu. jibu nilililolipata ndo hilo. Kilichobaki kutafuta maisha tu elimu ya chuo kikuu ni ndoto japo kua nina division one.
 
bwa mdogo kuna watu kama mwalami,aiden,kitiga na wengine wengi walikuwa na div 1 ama 2 lakini wako juani wanasaka pay na kiukweli wamepiga hatua kwa kufundisha mapindi.
 
Waombe mwakani wajibiwe 'Previous loanees' mm ndiokilichonikuta mwaka jana nilishindwa kujiunga na chuobaada ya kukosa mkopo, nikasema nitajaribu mwaka huu. jibu nilililolipata ndo hilo. Kilichobaki kutafuta maisha tu elimu ya chuo kikuu ni ndoto japo kua nina division one.

umewaona bodi ukawaelezea tatizo lako?
 
Wadau,leo nimeenda kumtembelea mdogo wangu wa 1st year pale hall 7{wa udsm mtakua mnapafahamu}sasa ktk kupga story,dogo akanionyesha marafiki zake kama wa tatu hvi ambao walikua wamedahiliwa hapa chuon wakiwa na points nzuri tu lakin cha kushangaza heslb imewanyima mkopo kwa kigezo kwamba corz zao sio za kipaumbele,so madogo wameamua kujikatia tamaa hvo kesho wanaondoka kurudi makwao,ebu imagne mtu ana dv 1.6 anarudi nyumban eti kisa bodi imemtema,bodi kwa nin imeamua kuzififisha ndoto za watu lakin,huyu kijana leo unaemnyima mkopo kweli atakua na uzalendo na nchi yake kweli?heslb badiliken jaman,msilete siasa za hao vilaza kama akna jk katika ishu muhimu kama elimu.

nawapa pole sana. Mimi katika program ninayoichukua, tulichaguliwa 64 hapa UDSM, wanafunzi 9 tu ndio tumepewa mkopo, waliobakia hawana mkopo. Na waliowasili ni 29 tu, wengine wameacha kuja. Maana tuna field kila mwaka, kama mtu hana mkopo atateseka sana kwenye field kwakuwa kuna pesa nyingi za kulipa na za kulipwa katika special facult.
 
Back
Top Bottom