HESLB inarudisha maisha ya watu nyuma.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,leo nimeenda kumtembelea mdogo wangu wa 1st year pale hall 7{wa udsm mtakua mnapafahamu}sasa ktk kupga story,dogo akanionyesha marafiki zake kama wa tatu hvi ambao walikua wamedahiliwa hapa chuon wakiwa na points nzuri tu lakin cha kushangaza heslb imewanyima mkopo kwa kigezo kwamba corz zao sio za kipaumbele,so madogo wameamua kujikatia tamaa hvo kesho wanaondoka kurudi makwao,ebu imagne mtu ana dv 1.6 anarudi nyumban eti kisa bodi imemtema,bodi kwa nin imeamua kuzififisha ndoto za watu lakin,huyu kijana leo unaemnyima mkopo kweli atakua na uzalendo na nchi yake kweli?heslb badiliken jaman,msilete siasa za hao vilaza kama akna jk katika ishu muhimu kama elimu.
 
mkuu ni kweli. Yani mi naumia sana maana haya yametokea kwa ndugu yangu amce ni 1st year kasom CBG ana dvsn 2.10 nae wamemzingua. Sijui hawa wanao kagua hayo majina nadhani hawajiamini na kazi yao kwasababu kigezo kimojawapo wao wanasema ni mwanafunzi awe na dvsn 1 au 2 sasa vigezo waweke wenyewe bado kuvitimiza kazi. Wewe Mkurugenzi wa HESLB Angalia watendaji wako
 
Uzalendo utoke wapi wakati serikal haiwatumikii wananchi wake..,, zaidi wananchi wanazidi kujawa na chuki tu siku hadi siku.
 
Waangalie historia za wazazi wao kama simoja wa watu waliowahi au siviongozi wa siasa hapa nchini hawawezi kupata. Tusilaumu yeyote makosa tunayo wenyewe hatukuamua vizuri mwaka jana
 
Inasikitisha sana. Watanzania tungekuwa na umoja ninaamini kuwa waliopata wangeungana na waliokosa mkopo na kupambana kwa pamoja na hatimaye kushinda. Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
 
acha wakomae kaka ndio watapata uchungu wa shule,mambo ya kuungana kwenye hizi ishu baadae kidogo acha wazoee chuo kwanza.
 
Wakulaumiwa ni wazazi wao kwa kuchezea ujana wao.

Nawashauri tu kuwa wasikate tamaa, mwakani wajaribishe tena.
 
wakulaumiwa ni wewe mshenzi uliye-disco udom kwa wivu wako unataka na wenzako wasisome kama wewe.you are always stupid.
 
check hili likibaraka la magamba nalo.matakataka kama haya ndo yanayorudsha maendeleo ya watu nyuma.u.n.a.g.o.n.g.w.a.
 
hayo ni mawazo yako. Nashukuru sana. Jarbu kufikirisha ubongo ndg.
 
check hili likibaraka la magamba nalo.matakataka kama haya ndo yanayorudsha maendeleo ya watu nyuma.u.n.a.g.o.n.g.w.a.

nina wasiwasi na jinsia yako, badala ujibu hoja, unaanza kutukana.
 
Wadau,leo nimeenda kumtembelea mdogo wangu wa 1st year pale hall 7{wa udsm mtakua mnapafahamu}sasa ktk kupga story,dogo akanionyesha marafiki zake kama wa tatu hvi ambao walikua wamedahiliwa hapa chuon wakiwa na points nzuri tu lakin cha kushangaza heslb imewanyima mkopo kwa kigezo kwamba corz zao sio za kipaumbele,so madogo wameamua kujikatia tamaa hvo kesho wanaondoka kurudi makwao,ebu imagne mtu ana dv 1.6 anarudi nyumban eti kisa bodi imemtema,bodi kwa nin imeamua kuzififisha ndoto za watu lakin,huyu kijana leo unaemnyima mkopo kweli atakua na uzalendo na nchi yake kweli?heslb badiliken jaman,msilete siasa za hao vilaza kama akna jk katika ishu muhimu kama elimu.

hii ni matokeo ya ushauli wa mtu anayeitwa professor Maboko na tume yake iliyoundwa na JK. Eti kigezo cha kufaulu kisitumike katika kutoa mkopo!!! eti waliopewa mkopo na Bodi warejeshe silimia 8 ya basic salary kila mwezi na riba ya 6%.
 
Wakulaumiwa ni wazazi wao kwa kuchezea ujana wao.

Nawashauri tu kuwa wasikate tamaa, mwakani wajaribishe tena.

firauni kama wewe hauna uwezo wowote wa kumshauri binadamu, unashindwa kushauri nguruwe binadamu utawaweza, stupid always.
 
nina wasiwasi na jinsia yako, badala ujibu hoja, unaanza kutukana.

we ni b.o.g.u.s tu,badala ya kushauri nin kifanyike unaleta upuuzi wako humu wa kuponda wazazi wetu,kwanza utakuta wewe ndio maskini wa kutupwa afu unadharau wenzio..n.g.e.d.e.r.e mkubwa wewe.
 
asante sana. Jarbu kupunguza matusi.
 
Back
Top Bottom