Heslb hawajanipatia mkopo tokea nimeanza chuo mwaka wa kwanza

Mackay

Member
May 27, 2016
47
33
mawazo yananitesa siijui kesho yangu, nafuu ningekua sina mkopo ningesaidika na familia ama ningeacha kusoma chuo,
bodi ya mikopo hainitendei haki, nawaza kama nitadaiwa hizo pesa ilihali hawataki kunipatia.
tangu nimeanza mwaka sijapata boom hata moja, nimekopa nimeishia kwenye madeni,
Elimu imekua ngumu mno.
msaada wenu wanajamvi.
 
Back
Top Bottom