Heslb hapa napo vipi

witacha matiku

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
678
126
nachelea kusema kuwa heslb wangexema kabisa idadi ya watu watakaopewa mkopo kwa wale wanao-appeal pia criteria za kupata mkopo sio tena kutumia mda mwingi na 5,000 alaf inakuwa matatizo hivi ni kusumbua watu na hata kupelekea mtu kuhisi kama ni mchezo wa gamble weka wazi ambaye hausiki asihangaike sababu watu wengi hawajapona majeraha ya kukosa mkopo na 30,000 imeenda bure tena leo 5,000 nayo ichukuliwe hii kiukwel not fair ,,2,,kuna hata majina yalitolewa kuwa watapewa mkopo kama wataondoa dosari ktk form zao na mwisho ilikuwa tarehe 6 mwez huu ila hadi leo tarehe 8 hakuna jibu mbaya zaidi hata link ya kuona kama umepewa wameitoa BINAFSI KWANGU NAWEZA KUSEMA HUU NI AUTOCRACY YA WATENDAJI WA HESLB NA UBABAISHAJI WA KIUTENDAJI KUNA WATU HAWAJARIPOTI VYUONI KISA HAWANA ADA KUTOLEWA HAYA MAJINA KUMEZINDUA NDOTO YAO YA KWENDA CHUO KIKUU nafikiri technology haitumiki vizuri hapa,,tufanye kazi tunahitaji kwenda mbele sio kurudi nyuma ,,WATENDAJI WA HESLB KUWENI MAKINI ni mtazamo tu
 
hivi mchakato wa kulipia umekaaje???? Sababu nimekutana na options nyingi hapa M-pesa hadi nachanganyikiwa mara weka namba ya kumbukumbu n.k! Mwenye ufahamu kuhusu hili suala anijuze tafadhari
 
hivi mchakato wa kulipia umekaaje???? Sababu nimekutana na options nyingi hapa M-pesa hadi nachanganyikiwa mara weka namba ya kumbukumbu n.k! Mwenye ufahamu kuhusu hili suala anijuze tafadhari

Afadhali yako wewe kama inafunguka mpaka unaona hadi namba za M-pesa, mimi huku haifunguki,yaan inazingua kinoma.
 
Kuapeal vipi mbona hawatoi maelezo ya kutosha na kueleweka juu ya hili swala,tujue nani anatakiwa kuapeal aliyepata mkopo kidogo ama aliyekosa mkopo ?.Mpaka sasa nawashangaa hawa watendaji wa bodi,hawaeleweki,wababaishaji,wala rushwa na mafisadi wakubwa,kazi kunenepeana kwa pesa za rushwa lakini hakuna wanalolitenda pale,wamekula 30 elf yangu hvhv nawauliza majibu yao hayaeleweki,utendaji wao wa kazi uko chini hawajielewi na hawaelewi hawa jamaa,matusi kama mvua,hawajali watu customer care yao down,wamevunja mashariti ya mkataba ningewapeleka mahakamani mungu jalia yao wametetewa na "mlugo".Hii nchi mafsadi wengi na khal hii ikiendlea tutachoka tu tutatoana mhanga kama Al-shabab,M23,BOKO HARAM,ata wa syria haiwezekani unalipia huduma alafu mtu analete masihara hvhv,najua baadhi ya watendaji wa bodi mmo hacheni ubabaishaji siku tukivulugwa hapatatosha .
 
Nikiwa najiandaa kuappeal mara naona tangazo likiwa na majina karibu 100 kuwa na mimi eti nimepata mkopo,hahaaa vichekesho hivi,wajameni kama mmepata vyuo Dit na mist nendeni mkacheki majina yenu yametoka chuoni
 
Back
Top Bottom