HESLB account

HESLB account

King More

Senior Member
Joined
Feb 1, 2016
Posts
102
Reaction score
54
Habari wakuu, naomba msaada

Kila nikijaribu kuingia kwenye account inaniandikia "access denied make sure you provide correct username and password" najaribu ku reset password lakini bado inagoma nifanye nini? na je hii changamoto iko kwangu tu au na wengine mmekutana nayo?
 
Habari wakuu, naomba msaada

kila nikijaribu kuingia kwenye account inaniandikia "access denied make sure you provide correct username and password" najaribu ku reset password lakini bado inagoma nifanye nini? na je hii changamoto iko kwangu tu au na wengine mmekutana nayo?
HELSB wanatunyanyasa sana,
 
Fata maelekezo kwa usahihi
Au tuma index number yako na password tukuangalizie
 
Inawezekana the way unavyoandika hyo no ya form four......unakosea....angalia kwa umakini
 
Mm kureset inagoma kabisa. Sasa sielew kwenye kipengele cha namba ya smu una andika iliotumika kufungulia ama yeyote inayopatikana kwa sasa
 
Mm kureset inagoma kabisa. Sasa sielew kwenye kipengele cha namba ya smu una andika iliotumika kufungulia ama yeyote inayopatikana kwa sasa
weka namba ya simu uliyofungulia account, ukiandika nyingine haikubali
 
Back
Top Bottom