Heshimu kila kitu Kama kilivyo!

Heshimu kila kitu Kama kilivyo!

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,863
Maumbile yanayo onekana na kila kitu mpaka kisicho onekana vipo kama vilivyo bila kukosewa hata punje!!!

Tambua hakuna lililo kosewa !!! Ukimuona mtoto kazaliwa na Cancer au yoyote kazaliwa na ulemavu au mtu Ana teseka kwa lolote jua KUWA hivyo ndio inavyo paswa KUWA...hakuna anae onewa kwa lolote...kinacho kufanya uone kama anaonewa ni akili yako inayo tafuta sababu katika kila Jambo!!!

Intelijensia ya uumbaji ni kamilifu isio na doa hata kidogo ...Tujifunze kuyaona Mambo na kuheshimu kila kinacho tokea Hapa ulimwenguni, yote hapo sawa kabisa ..

Mengine hutokea ili kukufunza wewe au wanao kuzunguka, na kama msipo jifunza , SoMo Hilo litajirudia mpaka mtakapo jitambua.

Ukjifungua mtoto mwenye shida furani labda ya ugonjwa jua inawezekana ni mtoto karudi Tena duniani kulipa karma (dhambi zake) au wazazi na wanao mzunguka wapate SoMo ...hakuna linalo kuja kwa bahati mbaya..

Kila unapo ona kuna Jambo ambalo si sawa kwako na kwa yeyote . kaa kimya na omba hekima katika ulicho kiona bila kuweka hisia zako ndani yake....usiwe mwepesi kuweka sababu zako za lawama juu ya lolote...HAKUNA ANAE KOSEA CHINI YA JUA!!!

YOTE YAPO SAWA HATA KAMA YANAUMIZA!!!
 
Well said,,wachache watakuelewa
Hamna kitu hapo, labda wajinga ndiyo watamuelewa.
Mtoto kazaliwa na matatizo ya kiafya halafu useme eti "ni sawa ilipangwa hivyo"
Umepata ajali useme eti "ni sawa ilipangwa hivyo"
Huyo mpangaji wa mambo ni nani?
Ni mungu? Mbona tunaambiwa ni mwenye upendo wote?
Sasa kwanini aruhusu mambo ya kuumiza kiasi hicho?
Mungu kwakweli hayupo.
Maisha yenyewe yanaenda tu kwa kutegemea mazingira na siyo kumtegemea Mungu.
 
Ijumaa njema boss
 
Hata Yesu aliwakuta walemavu na akawaponya wakawa good sasa sijui hapo unasemaje mkuu? Kwmba alikosea kuwaumba vibaya ila hakushtukia mpaka alipokuja kuwaona duniani au?
Mumgu aliumba kila kitu kiko perfect ila uharibifu sasa zingine ni
mazingira (madawa, mtindo maisha etc) au
ujinga (unajua unapaswa kufanyaje kumkinga mtoto na ulemevu ila unapuuzia ushauri wa daktari - in some cases)

Mengine tunamuachia Mwenyewe Muumba
 
Ni sawa na kusema 'yote ni mipango ya Mungu'; hii ni kauli ya kukata tamaa
Mada yako inatufundisha kukata tamaa; ingekuwa hivyo, wataalamu wasingekuwa wanakesha maabara kuvumbua tiba mbalimbali
 
Hakuna nilipotaja Mungu
 
Hata Yesu aliwakuta walemavu na akawaponya wakawa good sasa sijui hapo unasemaje mkuu? Kwmba alikosea kuwaumba vibaya ila hakushtukia mpaka alipokuja kuwaona duniani au?
Mumgu aliumba kila kitu kiko perfect ila uharibifu sasa zingine ni
mazingira (madawa, mtindo maisha etc) au
ujinga (unajua unapaswa kufanyaje kumkinga mtoto na ulemevu ila unapuuzia ushauri wa daktari - in some cases)

Mengine tunamuachia Mwenyewe Muumba
Mumgu aliumba kila kitu kiko perfect ila uharibifu sasa zingine ni
mazingira (madawa, mtindo maisha etc) au
ujinga

Ndo maana nikasema hakuna kilichokosewa kila kilichotokea, kinachotokea, na kitakachotokea kuna sababu zake!
 
duniani kulipa karma (dhambi zake) au wazazi na wanao mzunguka wapate SoMo ...hakuna linalo kuja kwa bahati mbaya..

Kila unapo ona kuna Jambo ambalo si sawa kwako na kwa yeyote . kaa kimya na omba hekima katika ulicho kiona bila kuweka hisia zako ndani yake....usiwe mwepesi kuweka sababu zako za lawama juu ya lolote...HAKUNA ANAE KOSEA CHINI YA JUA!!!

YOTE YAPO SAWA HATA KAMA YANAUMIZA!!!
Ben, kama umesema ni somo pia, si ndio sisi tutaendelea kuhoji, kujihoji na kuyafanyia kazi majibu. Hiyo fresh ama nn?. Ofcozi lawama tupu hazijengi
 
Maumbile yanayo onekana na kila kitu mpaka kisicho onekana vipo kama vilivyo bila kukosewa hata punje!!!

Tambua hakuna lililo kosewa !!! Ukimuona mtoto kazaliwa na Cancer au yoyote kazaliwa na ulemavu au mtu Ana teseka kwa lolote jua KUWA hivyo ndio inavyo paswa KUWA...hakuna anae onewa kwa lolote...kinacho kufanya uone kama anaonewa ni akili yako inayo tafuta sababu katika kila Jambo!!!

Intelijensia ya uumbaji ni kamilifu isio na doa hata kidogo ...Tujifunze kuyaona Mambo na kuheshimu kila kinacho tokea Hapa ulimwenguni, yote hapo sawa kabisa ..

Mengine hutokea ili kukufunza wewe au wanao kuzunguka, na kama msipo jifunza , SoMo Hilo litajirudia mpaka mtakapo jitambua..

Ukjifungua mtoto mwenye shida furani labda ya ugonjwa jua inawezekana ni mtoto karudi Tena duniani kulipa karma (dhambi zake) au wazazi na wanao mzunguka wapate SoMo ...hakuna linalo kuja kwa bahati mbaya..

Kila unapo ona kuna Jambo ambalo si sawa kwako na kwa yeyote . kaa kimya na omba hekima katika ulicho kiona bila kuweka hisia zako ndani yake....usiwe mwepesi kuweka sababu zako za lawama juu ya lolote...HAKUNA ANAE KOSEA CHINI YA JUA!!!

YOTE YAPO SAWA HATA KAMA YANAUMIZA!!!
Mmh
 
nimesoma na kuelewa baada ya pesa duniani omba sana busara aisee,,
 
Back
Top Bottom