Huyu jamaa ni terrorist par se.Wasomali Arusha wanakula laifu kwa mgongo wake.Human trafickers (wasomali,waethiopia, na wale wanaopelekwa Yemen na nchi nyingine za kiarabu kutumikishwa)wote wamelindwa sana naye.Zile deal za usiku natumia magari haramu ni sehemu ya maisha ya wasomali wa karibu naye.Mtandao wa kufafirisha hela duniani kwa njia isiyojulikana na mahakama kuu ,inayoongozwa na wasomali wote wapo katik ulinzi wa kivuli cha huyu jamaa.Nafikiri kwa sasa Lema kama kampiga marufuku.wakimsimamisha ndio itakuwa mwisho wake na mwanzo wa wasomali kuchunguzwa na FBI,CIA kwa kufanya money laundering.Hope nitakuwa Ar kipindi cha kampeni nifurahi ktk roho yangu.