Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
Habari ndugu zangu wana Jf,bila shaka muwazima na buheri wa afya,kwa walio katika changamoto za kiafya baasi mwenyezi mungu awajahalie wepesi na wapate kuwa vyema na kushinda vikwazo hivyo,sawa leo moja kwa moja naomba niwasilishe swala ambalo si geni katika maisha ya kila siku ya watanzania na ni sehemu moja wapo kubwa sana ambayo imeshika mizizi halisi ya maisha kwa vijana wa kitanania...
Sasa baasi ni hili swala la fasi ya kuishi eiza huwa kwa muda wengine huwa endelevu,hili ni getto au makazi ya vijana wa kitanzania kabla ya familia sana sana na wengine familia huchipukia humo,magettoni kila mtu huwa na utaratibu na sheria zake,ila huwa kuna mvurugano wa kukata na shoka kutoka kwa marafiki ambapo ni kweli mtu huwezi kuwa na getto na ukakosa rafiki si kweli,hapa nigusie marafiki wa kiume ambao wengi wamekuwa pasua vichwa kwenye magetto ya wanaume wenzao kwa kukosa staha....
Unakuta mshkaji labda anakuja kukuomba funguo akafanyie ngono kwenye getto lako hii tabia ikiwa kinara na ya hovyo sana maana kuna muda getto hubadilika mpka kuwa kama chumba cha wageni,na mara nyingi washkaji watafanyia ngono humo na usafi hawatofanya wataondoka ivyoivyo na kukutelekezea chumba,hii tabia sio nzuri na haina ustaarabu hata kidogo na ikitokea umewanyima funguo basi jiandae urafiki kuvunjika na kunyooshewa vidole vijiweni na kuna muda hufikia kutengwa,hili lisiwe tija saanaa achana na tabia hizo mbovu mbele mbele yao ustaarabu kwanza...
Wengine ni hawa marafiki ambao wanawaleta marafiki wao,hii mbaya sana unaenda kwenye getto la jamaa yako na ww ukizoa rafiki yako tena bila ya taarifa unafika pale na kuanza kuparamia labda jiko muda mwingine unamfosi mwenye getto kutoa kitu cha dongo kiunyonge jamaa anakunjuka anatoa kitu mnameza ww na uliyekuja nae bila taarifa hii haipendezi na sio ustaarabu hata kidogo...
Kwenda kuzamia gettoni kwa mwenzio kulala bila ya taarifa,hii unakuta jamaa kafika stori nyingi hajui ratiba zako zikoje anafikia hatua ya kulala mazima kumtoa unashindwa ukimtoa atakutenga na kukuona sio,japo kuwa yeye ndie aliekosa ustaarabu...KUNA MENGI SANA MATATIZO YA GETTONI WAWEZA ONGEZEA....