Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,392
- 289,522
- Thread starter
-
- #21
Who are you by the way ?Uhaguzi wa 2015 mlitegemea kura nyingi kutoka kwa wasukuma, na haikuwa hivyo. Hivyo msitegemee tena kwa wasukuma kama watakipigia chama chenu. Ndoho bhabha.
Mimi nipo na mama mzehe. Kwanini msikitupilie mbali chama chenu na kisha mkamuunga mama samia!! Kupata rais kama uyu nadra mno.Who are you by the way ?
Kumbe ndiyo maana Steve alikuwa anasema pua kila wakatiBaada ya Freeman Mbowe kuachiwa Huru kutoka kwenye kesi ya uongo ya Ugaidi , aliyobambikiziwa kwa sababu ya harakati zake za kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI , Na sasa tena baada ya kinachoitwa KIKOSI KAZI CHA SERIKALI kinachodaiwa kutumwa kukusanya maoni ya wananchi KUTOA MAPENDEKEZO YAKE HADHARANI ( Huku Tume ya Warioba ikiwa imekusanya maoni ya wananchi huko nyuma , tena kwa uwazi ) , wadau wa duru za kisiasa wanaona kama CHADEMA NDIO CHAMA MAKINI NA CHENYE KUSTAHILI KUHESHIMIWA NA KUAMINIWA .
Hii ni kwa sababu hakuna Mtanzania yeyote anayepingana na hoja zao , hakuna mtanzania asiyekubaliana na Matakwa ya Chadema kuhusu KATIBA MPYA wala TUME HURU YA UCHAGUZI , Hata Rais Samia Suluhu kwa sasa anakubali kwamba upo umuhimu wa kuwapo kwa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kinachosumbua ni kile Kigugumizi kinachoitwa NITOKE VIPI , na hii inasababishwa na WAHAFIDHINA walio Serikalini , walio ccm na kwenye idara nyingine za serikali wanaohofia UGALI WAO .
Dunia yote sasa imethibitisha UMAKINI WA HOJA YA CHADEMA ya kuwapatia wananchi wa Tanzania KATIBA MPYA pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZI , tena si kuwapatia bure hivihivi tu , CHADEMA imetoka DAMU , JASHO LA MWILI NA MENO , na Maumivu mengine yasiyoandikika humu JF , Dunia imejua kwamba Chadema tangu awali ndio Tegemeo na nguzo ya Haki , ndio chama cha Kizalendo kinachostahili kuheshimiwa na Kuaminiwa .
Shukrani ziende kwa wote waliounga mkono jambo hili , Wakiwemo akina Askofu Mwamakula , Sheikh Issa Ponda , Askofu Bagonza na wengine wote ambao wametukanwa kila aina ya matusi yakiwemo na yale ya Nguoni , huku wengine wakikamatwa na kudhalilishwa kwa msimamo wao huu wa Kizalendo .
Hatimaye Haki Imeshinda .
Unamaanisha huyu ?Kumbe ndiyo maana Steve alikuwa anasema pua kila wakati
Kang'oka Ndugai ndio ishindikane kwa huyu chawa ?
Hicho cheo cha msemaji wa wasukuma ulipewa na nani? angalia yasikukute ya steve...Uhaguzi wa 2015 mlitegemea kura nyingi kutoka kwa wasukuma, na haikuwa hivyo. Hivyo msitegemee tena kwa wasukuma kama watakipigia chama chenu. Ndoho bhabha.
Dunia nzima eheKang'oka Ndugai ndio ishindikane kwa huyu chawa ?
[emoji38][emoji38][emoji38]Hicho cheo cha msemaji wa wasukuma ulipewa na nani? angalia yasikukute ya steve...
Habari ndio hiyo , Kikeke wa BBC kamfuata Mbowe Machame , bado huogopi ?Dunia nzima ehe
Una kiherehereHabari ndio hiyo , Kikeke wa BBC kamfuata Mbowe Machame , bado huogopi ?
HayaUna kiherehere
Mungu ibariki CHADEMABaada ya Freeman Mbowe kuachiwa Huru kutoka kwenye kesi ya uongo ya Ugaidi , aliyobambikiziwa kwa sababu ya harakati zake za kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI , Na sasa tena baada ya kinachoitwa KIKOSI KAZI CHA SERIKALI kinachodaiwa kutumwa kukusanya maoni ya wananchi KUTOA MAPENDEKEZO YAKE HADHARANI ( Huku Tume ya Warioba ikiwa imekusanya maoni ya wananchi huko nyuma , tena kwa uwazi ) , wadau wa duru za kisiasa wanaona kama CHADEMA NDIO CHAMA MAKINI NA CHENYE KUSTAHILI KUHESHIMIWA NA KUAMINIWA.
Hii ni kwa sababu hakuna Mtanzania yeyote anayepingana na hoja zao , hakuna mtanzania asiyekubaliana na Matakwa ya Chadema kuhusu KATIBA MPYA wala TUME HURU YA UCHAGUZI , Hata Rais Samia Suluhu kwa sasa anakubali kwamba upo umuhimu wa kuwapo kwa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kinachosumbua ni kile Kigugumizi kinachoitwa NITOKE VIPI , na hii inasababishwa na WAHAFIDHINA walio Serikalini , walio ccm na kwenye idara nyingine za serikali wanaohofia UGALI WAO.
Dunia yote sasa imethibitisha UMAKINI WA HOJA YA CHADEMA ya kuwapatia wananchi wa Tanzania KATIBA MPYA pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZI , tena si kuwapatia bure hivihivi tu , CHADEMA imetoka DAMU , JASHO LA MWILI NA MENO , na Maumivu mengine yasiyoandikika humu JF, Dunia imejua kwamba Chadema tangu awali ndio Tegemeo na nguzo ya Haki , ndio chama cha Kizalendo kinachostahili kuheshimiwa na Kuaminiwa .
Shukrani ziende kwa wote waliounga mkono jambo hili , Wakiwemo akina Askofu Mwamakula , Sheikh Issa Ponda , Askofu Bagonza na wengine wote ambao wametukanwa kila aina ya matusi yakiwemo na yale ya Nguoni , huku wengine wakikamatwa na kudhalilishwa kwa msimamo wao huu wa Kizalendo .
Hatimaye Haki Imeshinda .
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa Huru kutoka kwenye kesi ya uongo ya Ugaidi , aliyobambikiziwa kwa sababu ya harakati zake za kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI , Na sasa tena baada ya kinachoitwa KIKOSI KAZI CHA SERIKALI kinachodaiwa kutumwa kukusanya maoni ya wananchi KUTOA MAPENDEKEZO YAKE HADHARANI ( Huku Tume ya Warioba ikiwa imekusanya maoni ya wananchi huko nyuma , tena kwa uwazi ) , wadau wa duru za kisiasa wanaona kama CHADEMA NDIO CHAMA MAKINI NA CHENYE KUSTAHILI KUHESHIMIWA NA KUAMINIWA.

Hapo mkuu kilichokuchekesha ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]