Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,899
- 218,683
Katiba Mpya ina umuhimu mkubwa sana, mfano;Heshima itaongezeka wakiwa well cordinated,wakipunguza matamko na wakisimamia wanachokiamini kwa weledi mkubwa.Suala la katiba mpya lisiwe la kubishana na serikali lakini matumizi ya technolojia yachukue nafasi na wahamie...
Umelishwa wimbo wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi na wewe utauimba mpaka utakufa na Hakuna utakachoambulia.Katiba Mpya ina umuhimu mkubwa sana, mfano;
- Kuleta mgawanyo na usimamizi wa rasilimali za taifa utakaowawezesha watanzania kwa wingi wao kufaidi matunda ya keki ya taifa lao, tofauti na ilivyo sasa kikundi kidogo cha watu kufurahia keki hiyo huku asilimia kubwa ya watanzania wakibaki kwenye lindi la umasikini...
Ni bahati mbaya sana Kwa Wananchi wa Tanzania kudhaniwa hawajui lolote kuhusu umuhimu wa Katiba mpya na mapungufu ya Katiba ya sasa , Sasa tujiulize ni nani aliyetoa maoni kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba?Heshima itaongezeka wakiwa well cordinated,wakipunguza matamko na wakisimamia wanachokiamini kwa weledi mkubwa...
Karibu sana mkuu
jikite kwenye madaWacha Porojo nyingi bali tuwekee ushahidi wa kuthibitisha hayo unayoyasema ili tuone ni wapi Duniani wameifuatilia chadema na kuleta hiyo impact.
Au unaongelea Dunia ya the Space na Maria Sarungi...
Tatizo mwanza lilianza pale chadema walipoamua kuutoa mwili wa marehemu Mawazo (R.I.P) kutoka Geita na kuuleta Mwanza.Operation Sangara na M4C nakumbuka zilisaidia sana kuongeza hamasa hasa kanda ya Ziwa, Chadema ilivuna wanachama wengi kanda ile na majimbo kama Nyamagana, Musoma Mjini..
Una mentality ya enzi za old stone age iliyopitwa na wakati, update your brain uishi na kizazi cha sasa kifikra.Umelishwa wimbo wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi na wewe utauimba mpaka utakufa na Hakuna utakachoambulia.
Mbowe, Heche, Msigwa, Lema na Lissu mpaka sasa hivi Ni MATAJIRI chini ya Katiba hii hii MBOVU ya mwaka 1977...
Inapotamkwa wabariki viongozi wetu sio kwa sababu ya dhambi zao binafsi.Ni bahati mbaya sana Kwa Wananchi wa Tanzania kudhaniwa hawajui lolote kuhusu umuhimu wa Katiba mpya na mapungufu ya Katiba ya sasa , Sasa tujiulize ni nani aliyetoa maoni kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba...
Jeshi la polisi lilikuwa wapi kutoa ulinzi ili kuhakikisha hilo zoezi linafanyika kwa amani?Tatizo mwanza lilianza pale chadema walipoamua kuutoa mwili wa marehemu Mawazo (R.I.P) kutoka Geita na kuuleta Mwanza.
Kisha ikawa vurugu jijini Mwanza na kupelekea wafanyabiashara kulalamika kwa kusababisha kufunga biashara zao kukimbia vurugu za mabomu ya machozi.
Kura hazitoki duniani: all politics is local!Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa Huru kutoka kwenye kesi ya uongo ya Ugaidi , aliyobambikiziwa kwa sababu ya harakati zake za kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI , Na sasa tena baada ya kinachoitwa KIKOSI KAZI CHA SERIKALI kinachodaiwa kutumwa kukusanya maoni ya wananchi KUTOA MAPENDEKEZO YAKE HADHARANI ( Huku Tume ya Warioba ikiwa imekusanya maoni ya wananchi huko nyuma , tena kwa uwazi ) , wadau wa duru za kisiasa wanaona kama CHADEMA NDIO CHAMA MAKINI NA CHENYE KUSTAHILI KUHESHIMIWA NA KUAMINIWA .
Hii ni kwa sababu hakuna Mtanzania yeyote anayepingana na hoja zao , hakuna mtanzania asiyekubaliana na Matakwa ya Chadema kuhusu KATIBA MPYA wala TUME HURU YA UCHAGUZI , Hata Rais Samia Suluhu kwa sasa anakubali kwamba upo umuhimu wa kuwapo kwa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kinachosumbua ni kile Kigugumizi kinachoitwa NITOKE VIPI , na hii inasababishwa na WAHAFIDHINA walio Serikalini , walio ccm na kwenye idara nyingine za serikali wanaohofia UGALI WAO .
Dunia yote sasa imethibitisha UMAKINI WA HOJA YA CHADEMA ya kuwapatia wananchi wa Tanzania KATIBA MPYA pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZI , tena si kuwapatia bure hivihivi tu , CHADEMA imetoka DAMU , JASHO LA MWILI NA MENO , na Maumivu mengine yasiyoandikika humu JF , Dunia imejua kwamba Chadema tangu awali ndio Tegemeo na nguzo ya Haki , ndio chama cha Kizalendo kinachostahili kuheshimiwa na Kuaminiwa .
Shukrani ziende kwa wote waliounga mkono jambo hili , Wakiwemo akina Askofu Mwamakula , Sheikh Issa Ponda , Askofu Bagonza na wengine wote ambao wametukanwa kila aina ya matusi yakiwemo na yale ya Nguoni , huku wengine wakikamatwa na kudhalilishwa kwa msimamo wao huu wa Kizalendo .
Hatimaye Haki Imeshinda .
Alot of Options. Hii inaitwa kupandisha Tanga shusha TangaWacha Porojo nyingi bali tuwekee ushahidi wa kuthibitisha hayo unayoyasema ili tuone ni wapi Duniani wameifuatilia chadema na kuleta hiyo impact.
Au unaongelea Dunia ya the Space na Maria Sarungi?
Halafu Chadema mna too much projects ONCE.
Ebu tupeni mrejesho wa kipi kati ya hivi mmewahi kuifikisha mwisho na kuja na mrejesho.
Operesheni Sangara.
M4Change.
Yaani miingi mpaka tunaisahau mingine ila ya hivi karibuni ni
Chadema Digital.
Katiba mpya.
Mbowe sio gaidi.
Join the chain?
Maridhiano ya kitaifa.
ACT sio chama kikuu cha upinzani.
Hatuitambuwi TCD.
Sasa tushike lipi na tuache lipi?
Eeh jamani eeh!
Well naratedKenya uliyoitolea mfano mpaka kufika sasa atleast wao wana Katiba bora kushinda ya kwetu, kama bado wana mapungufu hayo yanaweza kutumika kama somo kwetu ili tupate Katiba Mpya iliyo bora zaidi kwa kuyafanyia kazi mapungufu yao.
GoodNilitegemea upinge hoja zangu hapo juu kwa kuonesha udhaifu wake kama mfano, Katiba Mpya haiwezi kuleta maendeleo kwa wananchi kwa sababu 1..2...3.. lakini sio unasema Lissu na wengine wamekuwa matajiri kwa Katiba iliyopo hivyo kudai Katiba Mpya hakuna maana, huu ni ufinyu wa fikra.
Operation Sangara na M4C nakumbuka zilisaidia sana kuongeza hamasa hasa kanda ya Ziwa, Chadema ilivuna wanachama wengi kanda ile na majimbo kama Nyamagana, Serengeti, Musoma Mjini, Tarime, nk
Kilichokuja kuharibu mpangilio ule ni upigwaji marufuku mikutano ya siasa, hili lilisababisha kuzorotesha movement zilizokuwepo, pia kama pasingekuwepo na ukiukwaji wa wazi za sheria ya uchaguzi 2019 & 2020 nina hakika Chadema ingevuna zaidi.
Sasa Jiwe ni busara zipi alizotumia hata kama tuliimba huo wimbo 24/7 ?Inapotamkwa wabariki viongozi wetu sio kwa sababu ya dhambi zao binafsi.
Bali kumuomba mungu awape "Busara" za kutuongoza.