Heshima Kwake Kwissa (Mzee Mkavu)

thegeniustzda

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
211
Reaction score
359
Mwana labda vipindi kama ICU\ SHILAWADU unaweza mchukilia poa Kwissa(kamanda mzee mkavu) kuwa si lolote ni mbea tu wa mjini

Ila ukweli utabaki kuwa jamaa ni mwanzilishi wa vipindi vingi vikubwa vya TV nchini, vipindi vya zamani na vipya

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Msifiaji mwenyewe ni kama katumwa ila hajaweza wakilisha vizuri
 
Mkuu,hi Ni wewe umepost Twitter masaa kadhaa yaliyopita ? Maana kule nako kumeandikwa hivi so ni copy and paste
 
Rudi kwa aliyekulipa kuwa chawa wa jamaa mwambie akuongezee madini. Maana upo shallow tina tina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…