Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Oct 26, 2019 #21 Ahsante yna2 said: Nimeipenda..heko kwa wababa wote wanaojali watoto wao. Click to expand...
MeruA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 1,390 Reaction score 2,170 Oct 26, 2019 #23 Hajatumia akili,angembeba huyo mtoto kisha wakajikinga wote.
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,578 Oct 26, 2019 #24 Kichwa Kichafu said: Mtoto hawezi kumaliza paja[emoji23] Click to expand... Wacha bwana!!![emoji1787][emoji1787]
Kichwa Kichafu said: Mtoto hawezi kumaliza paja[emoji23] Click to expand... Wacha bwana!!![emoji1787][emoji1787]
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,167 Reaction score 24,129 Oct 26, 2019 #25 Dunia ya LEO wababa tuna upendo kwa watoto zetu kupita hata kina mama mkibisha siwalazimishi.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,584 Nov 5, 2019 #26 Kweli tusijekuharibu chakula kwa hali zetu hizi za mtanzania wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] Atoto said: Wacha bwana!!![emoji1787][emoji1787] Click to expand...
Kweli tusijekuharibu chakula kwa hali zetu hizi za mtanzania wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] Atoto said: Wacha bwana!!![emoji1787][emoji1787] Click to expand...
B Bobby JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 2,182 Reaction score 1,898 Nov 5, 2019 #27 Atoto said: Au anakula nyama bar watoto home wanakula dagaa. Click to expand... Dagaa ni wazuri sana kwa watoto mkuu in case you did not know. Husaidia ukuaji bora wa ubongo kwa watoto. Ila ujumbe wako umefika sawia.
Atoto said: Au anakula nyama bar watoto home wanakula dagaa. Click to expand... Dagaa ni wazuri sana kwa watoto mkuu in case you did not know. Husaidia ukuaji bora wa ubongo kwa watoto. Ila ujumbe wako umefika sawia.
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,578 Nov 5, 2019 #28 Kichwa Kichafu said: Kweli tusijekuharibu chakula kwa hali zetu hizi za mtanzania wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichwa Kichafu said: Kweli tusijekuharibu chakula kwa hali zetu hizi za mtanzania wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,578 Nov 5, 2019 #29 Bobby said: Dagaa ni wazuri sana kwa watoto mkuu in case you did not know. Husaidia ukuaji bora wa ubongo kwa watoto. Ila ujumbe wako umefika sawia. Click to expand... Natambua, ila ulikuwa mfano maana kwa kawaida watoto(hata watu wazima wengi) hawapendelei dagaa.
Bobby said: Dagaa ni wazuri sana kwa watoto mkuu in case you did not know. Husaidia ukuaji bora wa ubongo kwa watoto. Ila ujumbe wako umefika sawia. Click to expand... Natambua, ila ulikuwa mfano maana kwa kawaida watoto(hata watu wazima wengi) hawapendelei dagaa.