HESABU


Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,351
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,351 2,000
Udsm first year kuna somo mmoja la quantitave research nilikukutana nalo nikiwa first year lilinitesaga sana mtani mpaka nikarudi wa Tisa sapua, Mimi najua kuhesabu pesa tu mtani, ukiingiza formula tu umeniweza.
Nzuri sana hii Mtani. πŸ˜€πŸ˜€
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
1,171
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
1,171 2,000
Wacha kabisa japo eti siku hizi namfundishaga Mjomba ako hapa nyumbani. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jamaa yangu mmoja simuyu aniambia ye anafundisha masomo yote English, maarifa ya jamii,stadi za kazi,Swahili, sayansi kimu nk. yote kabobea, ndokama wewe nakuona apo nyumbani ulivyobobea masomo yote unawaelekeza tu
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
1,171
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
1,171 2,000
Nzuri sana hii Mtani. πŸ˜€πŸ˜€
Nilikuwa nafurahi sana kusikia kauli mwalimu wa hesabu, physics, na chemistry amepeta udhuru hivyo hakutakuwa na kipindi Leo. Gego la mwisho ulikuwa unaliona kwa furaha
 
M

Mr Slim

Member
Joined
Sep 11, 2018
Messages
64
Points
125
M

Mr Slim

Member
Joined Sep 11, 2018
64 125
2
Mstari wa kwanza, wapili na wa tatu hamna mahusiano as long hamna alama yoyote(+ or whatever inayoziunganisha, zinajitegemea....
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,483
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,483 2,000
kalete hesabu za wana mahesabu sio hizo za majority hata tuliokimbia shule tunajibu
 

Forum statistics

Threads 1,285,528
Members 494,652
Posts 30,865,475
Top