JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,200
Endeleeni kuimba ngonjera. Mbunge ni Lema Madiwani 24 wote ni chadema wakati kata moja tu ndio ya ccm.
Ndio maana lema anatafuta kick ya vurugu lakini polisi wameshamstukia
The sun once rose from the west and set in the east.....fact
Anatafuta mbeleko ya lowasa, kamwe lowasa hawezi mtupa Monaban.
very contradicting msg, isome tena msg yako halafu kama kweli wewe ni great thinker jikosoe!maana ccm wana wabunge weeeengi.is that a formula inayo apply kwa ukawa/chadema tuMnajidanganya,labda mfanye Jecha formula au mlivomfanyia lowasa.kata zote chadema sasa unategemea nn hapo?mtaona.
Kweli unapenda namba ila hesabu hujui!! Magufuli unasema alipata kura ngapi arusha? Je ccm ilipata madiwani wangapi? Weka pembeni,haya mgombea wa chadema alipata kura ngapi? Madiwani wangapi? Sawa!! Sasa usiumize kichwa,wapiga kura ni walewale, na hesabu ni zilezile,waliochagua madiwani ndiyo watakaochagua mbunge,upo hapo? Na mbaya zaidi ni kuwa kuna watu kadhaa ambao walimpigia kura magufuli ila hawaipendi ccm kabisa,kwa hiyo kura zao hamtazipata this time kwa sababu magufuli hagombei ubunge arusha, Dont ever bet a coin for this,itakula kwakoKwani kura zinapigwa na madiwani?