..hesabu za w'end..

Pure Mathematics

Senior Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
174
Reaction score
52
SECTION A
Hivi kama ni kweli wanawake ni wengi kuliko wanaume (five women per man), nyumba ndogo zitaisha? Changudoa's wataisha?

******
SECTION B
Wimbi la wanaume kuchelea au kutokuoa lina uhusiano na wimbi la machangudoa kuongezeka?
Kwa nini wanaume hawajiuzi kwa wanawake (kama wapo its just negeligible) kama ilivyo kwa wanawake kujiuza kwa wanaume?
*****
SECTION C
Kuna scientific proof yoyote about perception kwamba mtu akiruka hatua flan katika ukuaji (mathalan hakucheza kombolela) anakuja kufanya ukubwani?
 
let x = wanamme
let y = women
from the equation above
y=5x

assumptions:
body temp = 36 centigrade
ambient temp= 26degree
pressure= 19

but we know that,
a man is attracted to a woman with force that is equal in all direction.

Therefore,
x-y =0
substitute y = 5x

hence proved scientifically, a man can handle at least 5women at a time.
 

Kongosho hapa tunatafuta x au ndo ishapatikana.....?
 

tobaaaa!
.
 
Hahahahaaaa! Haya maujanja ndio huwa yananifanya nakukubali kiaina chief. Umetisha.
 
nilikuwa naonesha kuwa mwanamme mmoja anawatosha angalau wanawake 5
hasa kama pressure, temp, na volume yake viko sawa.

ndo nshaonesha hivyo

Kongosho hapa tunatafuta x au ndo ishapatikana.....?
 

mm nashindwa ww!
 
Du hapo umeshusha nondo mwanawane...ingekuwa tamu zaidi kama ungemalizia na QED (Question Easily Done).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…