Hesabu za ukubwa wa generator kiwanda cha nafaka

Hesabu za ukubwa wa generator kiwanda cha nafaka

MUST

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
108
Reaction score
76
Wakuu habari.

Naomba kujuzwa kwa kiwanda cha nafaka chenye mota 2 moja 40hp na nyingine 50hp nahitaki kununua generator lenye ukubwa wa kva ngapi?

Kindly recommend the best seller in Tz Mob 0654000243
 
kva 100, hp 90 ni kama kw 67 ambazo ni kama kva 88 so ukiweka na safety factor apo chukua jenereta ya KVA 100 kabisa!!!
 
kva 100, hp 90 ni kama kw 67 ambazo ni kama kva 88 so ukiweka na safety factor apo chukua jenereta ya KVA 100 kabisa!!!
Khaa!! Chief mbona factor ya reactive load hujaiconsider? Au ana mafuta ya kuchezea? Masna hiyo ni inductive load kubwa
 
Khaa!! Chief mbona factor ya reactive load hujaiconsider? Au ana mafuta ya kuchezea? Masna hiyo ni inductive load kubwa

alafu sokoni majenereta yanauzwa kwa range kwa mfano ukitoka jenereta ya kva 60 hapa kati hamna jenereta zingine mpaka ya kva 100
 
Ni makadirio si kwamba ndio kVA za moja kwa moja.

Sasa wewe unaefahamu hebu fanya makadirio hata kwa uzoefu wako sababu inaonekana uko vizuri.

Haya tupe maujuzi ili na sie wengine tunufaike
Khaa!! Guys mnapataje kVA bila kujua power factor? Lazima nyie ni magenius. Kwa uelewa wangu hakuna mahusiano kati ys Hp na kVA

khaa!! Bora kwani umechanganya mayai na machungwa
Haya lete maujuzi, mleta uzi bado anasubiri jibu.

Isiwe jibu la moja kwa moja tolea hata mfano, mathalani tufanye power factor unaifahamu tayari, hebu shuka kwanza ili na sie wengine tunufaike
 
1Hp-0.746kW
50hp-37.3kW
kwa three phase generator power factor ni 0.8,hivyo 37.3kW/0.8 unapata 46.5kva kwa hiyo 100kva inakufaa kuendesha motor zote mbili,niinbox for further details
 
Back
Top Bottom