DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,475
Hongera kwa kufika robo fainaliRage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita malofa
Mangungu akamleta Manzoki kwenye mkutano mkuu, ili mbumbumbu wapige nae picha
Kocha anawapenda Dube na Msonda kama wewe una akili je Said ana uwezo?Baada ya kocha wa Al Hilal Florent Ibenge kusemekana kupokea mlungula kutokea kwa uto ili kuwapa uto uhai matumaini ya kufuzu kwenda robo fainali, aliangaliaaa misimamo ya makundi mengine akawa na maamuzi ya kufanya.
Kwanza ni maamuzi ya kuonyesha kwamba timu imeshuka kiwango ili kuaminisha watu kuwa alifungwa na uto kihalali. Pili lilikuwa ni suala la kwenye robo fainali anamtaka nani au amkwepe nani.
Baada ya maswali haya mawili, akaamua ajilipue afungwe na TP Mazembe na wakatandikwa kweli goli 4-0. Lengo likawa ashike nafasi ya pili na azma yake kwenye masuala hayo mawili itimie.
Pia nimejifunza kitu cha ziada, Ibenge alijua uto inajisumbua na isingetoboa mbele ya MC Algier. Aliamini MCA ilikuwa inaenda kushinda mechi ya Dar na kuongoza kundi. Jamaa anaijua uto kama kiganja cha mkono wake.
Bahati mbaya kwake alitegemea Al Ahly aliyekuwa anacheza nyumbani dhidi ya Orlando Pirates angeenda kushinda na kuongoza kundi lake kwa hivyo Ibenge awakwepe hao miamba hatua ya robo fainali. Al Ahly akapigwa na Orlando na kuishia nafasi ya pili. Kwenye robo fainali Ibenge anaweza kwenda kukutana na yule aliyetaka kumkwepa!
Pesaaa....Pesaaa.....
Chuma cha kijerumani, mzee wa gua, achia, twende kwao! Mmeshaanza kumkataa Saidi Kichwa?Kocha anawapenda Dube na Msonda kama wewe una akili je Said ana uwezo?
Kabla hajazima simu aliwapigia MC Algier akawaambia "wazee ile pesa sikuweza kuikataa, January hii! Ila wanangu, wale vyura mnawapiga vizuri tu."Ibenga kakunja mzigi afu kazima simu.
Yanga wanagusa achia,waarabu wakaja na gusa lala.Kikubwa ibenge alikunja mzigo wa kina gusa achia
Soka ni fursa kubwa sana!Baada ya kocha wa Al Hilal Florent Ibenge kusemekana kupokea mlungula kutokea kwa uto ili kuwapa uto uhai na matumaini ya kufuzu kwenda robo fainali, aliangaliaaa misimamo ya makundi mengine akawa na maamuzi ya kufanya.
Kwanza ni maamuzi ya kuonyesha kwamba timu imeshuka kiwango ili kuaminisha watu kuwa alifungwa na uto kihalali. Pili lilikuwa ni suala la kwenye robo fainali anamtaka nani au amkwepe nani.
Baada ya maswali haya mawili, akaamua ajilipue afungwe na TP Mazembe na wakatandikwa kweli goli 4-0. Lengo likawa ashike nafasi ya pili na azma yake kwenye masuala hayo mawili itimie.
Pia nimejifunza kitu cha ziada, Ibenge alijua uto inajisumbua na isingetoboa mbele ya MC Algier. Aliamini MCA ilikuwa inaenda kushinda mechi ya Dar na kuongoza kundi. Jamaa anaijua uto kama kiganja cha mkono wake na alikuwa na uwezo wa kuimaliza shughuli kule kule Mauritania libaki tu suala la kusafirisha maiti.
Bahati mbaya kwake alitegemea Al Ahly aliyekuwa anacheza nyumbani dhidi ya Orlando Pirates angeenda kushinda na kuongoza kundi lake kwa hivyo Ibenge awakwepe hao miamba hatua ya robo fainali. Al Ahly akapigwa na Orlando na kuishia nafasi ya pili. Kwenye robo fainali Ibenge anaweza kwenda kukutana na yule aliyetaka kumkwepa!
Pesaaa....Pesaaa.....
Hasanoo aliwaita Mabaamed viongozi wao wanajua wanawaongoza watu wa aina ganiRage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita malofa
Mangungu akamleta Manzoki kwenye mkutano mkuu, ili mbumbumbu wapige nae picha
Wakikaza watapitaDah nilisema mahesabu ya Ibenge yamebugi, leo yametimia. Alitaka kumkimbia Al Ahly kaenda kukutana naye.
Kajidhalilisha kweli.Mbumbumbu acha kujidhalilisha.
Hamna kitu. Safari ya Al Hilal imeishia hapo.Wakikaza watapita