Huo ujasusi anaufanyia twiter? Huo ujasusi ulishindwa kumsaidia kutimuliwa ndani ya ccm?Membe sio mjinga kivile, anaweza akatengeneza zengwe ,au "akanogesha "uchaguzi mkuu wa October kwa kumpunguzia Magu wingi wa kura,kwa asili mia kubwa ili kumkata makali ya kujiamini.
Kwake majungu na fitina za kisayansi anayaweza kama jasusi mkongwe.Akiamua kujiongeza kwa kutumia mbinu za medani na fedha ya matajiri ni wazi atakidhalalisha chama cha Mapinduzi vibaya sana,japo Magu atatangazwa mshindi.
CCM wameshindwa kumpoza Membe mapema kabla ya uchaguzi.
XQ7948VT Imethibitishwa, umepokea 7,000 kutoka Lumumba.Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.
Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.
Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.
Kwa nn ACT na Sio Chadema
Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.
Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.
Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.
Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.
Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.
Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.
Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.
Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.
Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.
Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.
All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
Huo ujasusi anaufanyia twiter? Huo ujasusi ulishindwa kumsaidia kutimuliwa ndani ya ccm?
Kasema lolote laweza kutokea June hadi October.Huo ujasusi anaufanyia twiter? Huo ujasusi ulishindwa kumsaidia kutimuliwa ndani ya ccm?
Namnukuu Membe akihojiwa na Dw :Kasema lolote laweza kutokea June hadi October.
Kwanini anajiamini sana?
Hatujui anataka kufanya nini?Namnukuu Membe akihojiwa na Dw :
"lolote kinaweza kutokea kati ya june na oktoba,!"
"nisipopata haki yangu ya kugombea ndani ya ccm ntaitafuta nje ya ccm"
"unaweza kupanda bus toka mtama kwenda dar lakini ukishushwa njiani utapanda hata bodaboda kufika unakokwenda"
Kwa kauli hizo za Membe unaona kabisa ni mtu ambae plan B yake ni kwenda kugimbea kupitia upinzani na hapa ni ACT au CHADEMA,
Nafikiri mpaka hapo umeona ujasusi wa Membe ni useless kama ule wa Lowasa 2015.
Mpaka hapo hujui kama Membe hana nafasi ndani ya ccm na ili agombee lazima aende upinzani ambako ataambulia hewa?Hatujui anataka kufanya nini?
Nitaona ajabu na kusikitika Sana iwapo ACT Wazalendo watamchukua Membe kwa sababu watu wanaotokea CCM siku zote wanachafua na baadae kurejea Tena CCM. ACT wasifanye kosa Hilo.Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.
Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.
Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.
Kwa nn ACT na Sio Chadema
Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.
Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.
Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.
Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.
Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.
Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.
Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.
Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.
Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.
Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.
All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
Fear of the unknownHilo ni iwapo rais aliyepo atakubali kuheshimu box la kura. Lakini kwa hali iliyopo, inaonyesha atatumia madaraka yake kupewa % anazozitaka.
Fear of the unknown
Yule lengo lake kuu lilikuwa kuwa Raisi wa sita wa Tanzania.Lakini akiona CCM wanamzenguwa ataliamsha au Kunuka.Mpaka hapo hujui kama Membe hana nafasi ndani ya ccm na ili agombee lazima aende upinzani ambako ataambulia hewa?
Kisini membe hana ushawishi kama wa majaliwa...Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.
Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.
Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.
Kwa nn ACT na Sio Chadema
Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.
Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.
Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.
Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.
Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.
Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.
Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.
Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.
Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.
Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.
All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
Sijui atanukaje..Yule lengo lake kuu lilikuwa kuwa Raisi wa sita wa Tanzania.Lakini akiona CCM wanamzenguwa ataliamsha au Kunuka.
Alianza vizuri bandiko lako, Baadae mwishoni umemaliza na "UHARO "Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika.
Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni.
Kuna uwezekano Membe akaangukia ACT wazalendo na sio Chadema Kama wengi wanavyomtabiria. Huyu Kuna asilimia zaidi ya 80 katika hesabu zangu za Ramli akahamia ACT Wazalendo.
Kwa nini ACT na Sio Chadema
Kwa haraka haraka ACT niliwaambia watauzika zaidi Zanzibar kuliko bara hii ni kutokana na uwepo wa Maalim Seif kule Zanzibar. Hili halina ubishi Vita ya Zanzibar inawahusu CCM na ACT.
Kwa maana hiyo ACT wanatafuta mtu Strong huku bara wa kuwasaidia kuitikisa CCM na kwa hesabu zilizopo Membe anaonekana Kama mtu Sahihi na huenda wameshakubaliana.
Kwa Nini ACT watamchukua Membe na sio mwingine?
Watamchukua Membe kwa sababu kuu mbili kwanza ni mtu anayekuja na utamaduni usio Rasmi wa CCM wa kuachiana kijiti kwa miaka kumi. Watu wanataka kumsikia kabeba agenda gani.
Pili ACT wanamuona dili kutokana na eneo analotokea la mikoa ya Kusini. Kiashiria kikubwa Cha hili Ni Mbunge Suleiman Bungara kuhamia ACT kwa haraka na ameshawahi Siti. Bungara ni Mbunge ambaye anajua kusoma alama za Nyakati kwa Siasa za Kusini. Kama akihamia ACT, CCM itakuwa inakutana na Hali isiyoeleweka ukanda huu wa Kusini. Tukumbuke kwa miaka ya hivi karibuni Mikoa hii imekuwa na Siasa zisizoeleweka.
Hesabu zetu CCM zilienda vibaya kumtimua Membe?
Kama akihamia ACT Basi tutakuwa tulipiga hesabu vibaya. Nilitamani reconciliation mapema Sana. Wakati fukuto la udikuzi wa simu lilipoibuka ndani ya CCM solution yangu ilikuwa kufanya reconciliation. Ila niliambulia wazee wawili na Vijana wawili kwenye fukuto lile. Niliambulia wazee Kinana na Yusuph Makamba na Vijana Nape na January Makamba Membe tukamtosa.
Kuna msemo wa kiingereza unasema "an intelligent person knows how to solve any problem. A wise person knows how to avoid that problem.
Hapa tulikataa kata kata kutumia Busara (Wisdom) kumaliza tatizo mapema. Narudia a wise person knows how to avoid that problem hapa baada ya kuona kimbelembele Cha Membe tungetumia Wisdom (Busara) kummaliza tungemtafutia ubalozi kule Somalia au Syria, ni saa ngapi angelitoka njee aite press? Akitaka kuja nchini ni mpaka aombe kibali wizara ya Mambo ya njee.
Kwa Nini Membe anataka Urais Sasa?
Ndani ya CCM kuna utaratibu mwingine ambao Ni mzuri Sana wa kuachiana kwa awamu kijiti Cha kugombea Urais kwa kufuata misingi Fulani hivi ambayo sitaitaja hapa. Kwa maana hiyo ili Membe aje agombee ndani ya CCM atahitaji kusubiri miaka 15 ijayo toka Sasa kwa Sasa ana miaka 67 ukijumkisha na miaka 15 ijayo atafikisha miaka 82. Kiuahalisia atakuwa ameshapoteza Ramani ya Siasa na atakuwa kazeeka Sana.
Nani mwingine atapiteza Kusini?
CUF ya Prof Lipumba ilikuwa inafaidika na Siasa za Kusini lakini kwa Sasa ACT wanazipigia hesabu na nafasi ya Cuf Wanaitaka huko Kusini kama hesabu hizi za Membe na Ramli yangu itakaa sawa.
Hitimisho.
Kama hesabu zikienda hivi bila kubadilika ACT itakuwa ni chama kinachotaka kuongoza Siasa za Upinzani nyuma ya NCCR Mageuzi ambayo hesabu zake Ni kushika usukani wa Siasa za Upinzani. Vita ya kuongoza Siasa za Upinzani itahamia kwa ACT VS NCCR Mageuzi.
Tunaweza kuzirudia hizi Hesabu zikakaa sawa kabla ya uchaguzi mkuu. Bado tunaweza kuepuka kutumia nguvu kubwa na fedha nyingi 2020.
All in All ningepewa nafasi ya kukutana na Membe ningemshauri afungue Kampuni la Korosho huko Kusini awasaidie Wana kuchele... Atapoteza zaidi akiziamini hesabu zake hizi.
View attachment 1490376
Huo utaratibu uliwekwa na nani?Tanzania tunautamaduni wa kila awamu na chama chake kikuu cha Upinzani,
awamu ya Mwinyi tulikua na NCCR,awamu ya Mkapa tulikua na CUF na awamu ya Kikwete tulikua na CHADEMA , kwa awamu ya Magufuli basi atakua ACT.
hesabu ndogo tu hizi Mkuu
Kwa sababu waheshimiwa waliahidi kuibeba.... bunge lijalo ili kiwe chama kikuu cha upinzani kisichohoji chochote wala lolote!Hivi NCCR Mageuzi ya mbatia ina nguvu gani kiasi icho? mbona mnaikuza sana