Hesabu lazima ifikee

Hesabu lazima ifikee

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,317
Reaction score
23,192
Screenshot_2018-09-15-12-28-43-990_com.instagram.android.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2018-09-15-12-28-41-764_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2018-09-15-12-28-41-764_com.instagram.android.jpg
    72.1 KB · Views: 43
  • Screenshot_2018-09-15-12-28-39-420_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2018-09-15-12-28-39-420_com.instagram.android.jpg
    126.4 KB · Views: 39
Askari ni askari tu! Mamwela wametumia mazingira kuendana na mavazi yao kama camouflage na wamefanikiwa, traffic police katumia nguzo nyeupe inayofanana na nguo zake kujificha na kafanikiwa...hesabu lazima ifike kwa wakati.
 
Tren likipita hapo haliwezi kumpitia
 
Askari ni askari tu! Mamwela wametumia mazingira kuendana na mavazi yao kama camouflage na wamefanikiwa, traffic police katumia nguzo nyeupe inayofanana na nguo zake kujificha na kafanikiwa...hesabu lazima ifike kwa wakati.

Lakini mkuu hii avatar yako inahamasa sana.
 
Lakini mkuu hii avatar yako inahamasa sana.[/QUOTE]
Umeona mkuu!! kanifany nitmize task ya chama la wana{CHAP*TA}😋😋
 
Nasikia kuna baadhi yamatrafiki wamejichanga wamenunua tochi zao kwa matumizi binafsi, naona wanataka kujiajiri
 
Back
Top Bottom