Hesabu kali, Hesabu za kimkakati zaidi sijui mnaona?

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
2,363
4,853
..."in politics, nothing happens by accident. if it happens, you can bet it was planned that way" Franklin Delano Roosevelt. Kwa ufupi tu hakuna bahati mbaya kwenye siasa.

Itakushangaza kidogo, ila ukweli ni kua Zitto kabwe hatochukuliwa hatua kali zozote juu ya tuhuma zake eti za kuichongea nchi isipate mikopo toka WB.

Zitto hajawahi kupata misukosuko waipatayo akina Lissu, Mbowe nk na hatokuja kuipata. Unajua ni kwa nini? Mara baada ya magufuli kuapishwa na kwenda kuhutubia bunge mwaka 2015, wapinzani wote walitoka na kupinga urais wa Magufuli kasoro Zito, unajua ni kwanini?

Unakumbuka miezi michache iliyopita Zitto alikua ubeligiji kumsalimu Tundu, na tetesi zikaenea kua alikua anamvuta Tundu ACT, kabla ya mwenyekiti kubadili 'gia' angani na kumpa tundu umakamu mwenyekiti na kumbakisha CHADEMA, unajua mkakati wa Zitto ulikua ni nini? Usisahau Maalimu Seif amekwisha kujaa tunduni.

Sasa ngoma imebinuka, saizi anaimbwa Zitto inaimbwa ACT, na kumbuka ACT pale Pemba itachukua nafasi ya Cuf na hivyo ACT inaweza kua na wabunge wengi Zanzibar, na kwa hali inayoendelea bara... Naona kabisa uchaguzi mkuu 2020 ule wanaouita ushindi wa "kishindo" utaipoteza upinzani bara kabisa.

Sasa anza kupiga picha nani atakua 'KUB' (kiongozi wa upinzani Bungeni) baada ya hapo kuna chama kitakufa kibudu kama ilivyokua NCCR, TLP, na CUF.

Na hapo wengi mtapata kujua huyu bwana mdogo ni nani ndani ya nchi hii. Na Watanzania tunavyopenda matukio basi kikundi cha watu wachache kinatupangia aina ya siasa wanazotaka... Huku akina sie tukiendea kupiga selfie za Instagram.

Ngoja tusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasubiria Boat Aiport
Utangoja sana

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Ok inaelekea unajua hesabu ukiziona.
 
...
Zitto hajawahi kupata misukosuko waipatayo akina Lissu, Mbowe nk na hatokuja kuipata. Unajua ni kwa nini? Mara baada ya magufuli kuapishwa na kwenda kuhutubia bunge mwaka 2015, wapinzani wote walitoka na kupinga urais wa Magufuli kasoro Zito, unajua ni kwanini?

[/URL]

...

Unakumbuka miezi michache iliyopita Zitto alikua ubeligiji kumsalimu Tundu, na tetesi zikaenea kua alikua anamvuta Tundu ACT, kabla ya mwenyekiti kubadili 'gia' angani na kumpa tundu umakamu mwenyekiti na kumbakisha CHADEMA, unajua mkakati wa Zitto ulikua ni nini? [/URL]

Kuraise hizi concerns kisha kutokuzijibu umeharibu uzi wako totaly, lilikuwa boonge la uzi sema hujajua tuu.

Unforgetable
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom