Hesabu iliyomliza Abdul Nondo wa ACT Wazalendo huko Mbarali 63+40+2+1 = 70. Zamani angesingiziwa Magufuli!

Abdul Nondo anasema kwenye kituo Kimoja huko Mbarali chenye Wapiga kura 70 fomu ya majumuisho iliyosainiwa na Tume ya Uchaguzi inasomeka ACT Wazalendo wamepata kura 40 na CCM wamepata kura 63 Vyama vingine kura 3

40+63+2+1=70

RIP Shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi

View attachment 2755541
Ana takiwa alie sana. Chadema ina susia wanadhani wao wata onewa huruma?
Mwizi hawezi kuqcha wizi. Ikibidi ata ficha kijiko chake halafu ajifanye ana kwenda kukiiba.
Ccm hawana nia njema na hili Taifa. Wapi kwa maslahi yao binafsi.
Ati juu ya unyanyasaji wote wananchi walio upata Ccm ina pata kura za ushindi?
 
Usiamini kia unachokiona kwenye mtandao.

Kama ni kweli sheria za uchaguzi si zipo na rufaa si zipo?
CCM kwenye wizi ni kiboko .... Mimi nilipiga Kura kabisaaaa za udiwani nikawapa Kura ACT maana mgombea wao alitoka CCM baada ya kukatwa juu Kwa juu ....matokeo kubandikwa Wacha weee hata Ile Kura yangu Moja kwenye hicho kituo wakaikwiba ... CCM wako vizuri mnoo Kwa wizi....
 
Abdul Nondo anasema kwenye kituo Kimoja huko Mbarali chenye Wapiga kura 70 fomu ya majumuisho iliyosainiwa na Tume ya Uchaguzi inasomeka ACT Wazalendo wamepata kura 40 na CCM wamepata kura 63 Vyama vingine kura 3

40+63+2+1=70

RIP Shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi

View attachment 2755541
Wala hakusingiziwa TUMECCM ndio hii hii POLICCM ndio hawa hawa CCM bila WIZI wa kura HAWASHINDI
 
Wadau UCHAGUZI wa JIMBO la MBALALI umemalizika na CCM imeibuka MSHINDI.

Naipongeza TUME YA UCHAGUZI kwa kusimamia UCHAGUZI kwa WELEDI na UMAKINI MKUBWA ikishirikiana na Jeshi la POLISI kuhakilisha UCHAGUZI unaisha kwa Amani Bila HAKI. Weledi na Umakini wa TUME ya UCHAGUZI ni pamoja na hiyo FOMU ya MATOKEO ya moja ya Vituo Fomu iliyosainiwa na AFISA wa TUME.

Huo ndio UCHAGUZI wa TANZANIA Unaosimamiwa na TUME ya UCHAGUZI ngoja tusubiri MAKUBWA ktk UCHAGUZI wa 2025 yataibuka MAKUBWA.

NB: Hebu Jumlisha hizo kura upate Jumla ya kura zote.

20230920_064353.jpg
 
Kuna watu walidai Eti Magu aliondoka na kura za viroba,

Tumeona UKWELI,

Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI.
 
Back
Top Bottom