Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,436
- 2,156
Wadau habari zenu mechi ya jana imeisha na mtaani hali ni fresh kama nyimbo ya ngosha watani baada ya kupata kichapo cha goli 5 kwa nne mjadala umehamia kwa Tshishimbi mara tumelamba dume wengine wanasema hooo izo tano mlizosema ziko wapi lakini wamesahau simba anaifunga yanga hata akichezesha kikosi cha pili au akiwa pungufu niliwambia hua naota siku ya mechi wengi mlibisha na matusi mengi baada ya mechi kuisha uzi wangu uliondolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app