Hesabu hazidanganyi takwimu za mechi ya simba na yanga

Kyawanjubu

JF-Expert Member
May 13, 2017
2,385
2,000
Wadau habari zenu mechi ya jana imeisha na mtaani hali ni fresh kama nyimbo ya ngosha watani baada ya kupata kichapo cha goli 5 kwa nne mjadala umehamia kwa Tshishimbi mara tumelamba dume wengine wanasema hooo izo tano mlizosema ziko wapi lakini wamesahau simba anaifunga yanga hata akichezesha kikosi cha pili au akiwa pungufu niliwambia hua naota siku ya mechi wengi mlibisha na matusi mengi baada ya mechi kuisha uzi wangu uliondolewa

a14854b6eb267bd05349fec69fddaf70.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,959
2,000
Wadau habari zenu mechi yajana imeisha na mtaani hali ni fresh kama nyimbo ya ngosha watani baada ya kupata kichapo cha goli 5 kwa nne mjadala umehamia kwa Tshimbi mara tumelamba dume wengine wanasema hooo izo tano mlizosema ziko wapi lakini wamesahau simba anaifunga yanga hata akichezesha kikosi cha pili au akiwa pungufu niliwambia ua naota siku ya mechi wengi mlibisha na matusi mengi baada ya mechi kuisha uzi wangu uliondolewa
a14854b6eb267bd05349fec69fddaf70.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Azidanganyi au hazidanyanyi?
 

Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
6,993
2,000
Umejiuliza kwa nini Simba walicheza rafu nyingi?ila Yondani Mungu anakuona...njia nyeupe kama Dida na Bartez
 

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,558
2,000
Vipi hesabu /takwimu za kuomba point za mezani toka FIFA
Mligomea medali za mshindi wa pili lakini mmecheza na Bingwa. Nilidhani mtagoma kwenda uwanjani

Hawapendagi sana hilo swali Mkuu, jiangalie mno maana kuna siku watu walinijia PM na mapanga.
 

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,130
2,000
Wewe ndo kiazi kabisa, hizo takwimu ni za dakika tisini.
Punguza kasi Ebitoke, fuatilia mwanzo wa jambo ndio ushoboke. Kasema stats hqzidanganyi tumepigwa 5-4, ziko wapi hapo?

Mpira dkk 90 mamaangu, baada ya hapo anatafutwa mshindi.

Kwa kunielewa vyema ni kwamba, hatujafungwa goli 5-4, bali tumefungwa penati 5 kwa 4. Tungefungwa bao 5 ungeona zimeandikwa hapo palipoandikwa goals
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom