Hesabu Darasa la 4

Mbona mie napata -1? (Kwa kutumia BODMAS/MAGAZIJUTO). Inabidi nirudi darasa la nne au?

MAbano=>(hakuna)=> 5x5-5÷</SPAN></SPAN>5-5x5
GAwanya=> (5÷</SPAN></SPAN>5 =1) => 5x5-1+5x5
ZIdisha=> (5x5=25, 5x5=25) => 25-1+25
JUmlisha=> (1+25=26) => 25-26 (Utata upo hapa: ni 1+25=26 au -1+25=24?)
TOa => 25-26 = -1 (au ni 25+24=49?)
 
Naona kila mtu anakuja na jibu lake ... na wengine wanalamika ... mwenye marking scheme .. kaingia mitini!

Mwalimu gfsonwin .. naomba utusaidie jibu! ... au wewe unafundisha kemia?!

Anyway, hii ni kuonyesha namna gani tatizo la Hesabu (hisabati) lilivyokuwa ni tatizo la Kitaifa hapa nchini kwetu Tanzania!
.
 
Reactions: SMU
MAGAZIJUTOoooooooooooooooooooooooo ANSWER IS C!! 49
 
Samahani wote kwa pamoja.
Mi sikuiona alama ya kugawanya coz natumia simu.
Baada ya kucheck vizuri nimepata jibu ni C.
'am sorry.
 
mmekosa wote,hamjaambiwa mfanye kwenye instruction ata kama mmefanya,hujui kama umeambiwa uprove au ufanye nini,mimi nasubiri insruction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…