He's my everything

Bora ya zipu na kifungo juu maana hata zipu ikiharibika unafunga kifungo, unachomoa shati.
senks my deskmate, halaf rekodi yangu nina marazi ya kifafa nikipata ujoto, mi naomba unisaidie tu ikitokea.
 
Usiwe na wasi, maradhi hayo nayajulia sana. Ukianguka nakupa pumzi tu... unajua zile teknik za first aid?
 
Dah! nilikuwa natafta tiba ya hiki kifafa lakini kwa hali hii naona bora kisipone tu. Mhalakishe mwalim mwali, darasa naona linachelewa
 
Hi sredi ni special jamani ila naona uchakachuaji unaendelezwa na,Safari_Safari,Klorokwini na Hashycool

Kabakabana thanks so much hny,hayo maneno yameniingia kwa moyo mpaka nimevibrate.
 
Usijali, alimkataa sana huyo mwarabu ila jamaa likaendelea kungan'gana! Klorokwini na mimi tulikua tunasaidia kuirudisha maada kwenye mstari tu.
 
umeona eh hny!hehehe ahsante mpenzi wangu nakupenda sana u are my breath baby u are my everything
 
Usijali, alimkataa sana huyo mwarabu ila jamaa likaendelea kungan'gana! Klorokwini na mimi tulikua tunasaidia kuirudisha maada kwenye mstari tu.
lol,ahsanteni sana mana bila hivo sasa hivi ningeshalog off
 
Usijali, alimkataa sana huyo mwarabu ila jamaa likaendelea kungan'gana! Klorokwini na mimi tulikua tunasaidia kuirudisha maada kwenye mstari tu.

hahaha na kweli dear,umenisaidia kweli mwali.
 
Usijali, alimkataa sana huyo mwarabu ila jamaa likaendelea kungan'gana! Klorokwini na mimi tulikua tunasaidia kuirudisha maada kwenye mstari tu.
Na at the same time tulikuwa tunajarib kuwafahamisha kwamba wanaweza kuzoeana kabla kutongozana, si unaona mimi na wewe tumeanza mbali na stori za kifafa? who knows tunaelekea wapi?
 
...after goin thru each line,i feel lyk nimezungukwa na makopa kopa ya ma-lovedavi.😛oa
 
Na at the same time tulikuwa tunajarib kuwafahamisha kwamba wanaweza kuzoeana kabla kutongozana, si unaona mimi na wewe tumeanza mbali na stori za kifafa? who knows tunaelekea wapi?
mtakuwa mnaelekea Ubungo Bus Terminal lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…